we ni inservis?
umepataje huo mtaji mkubwa hivo na ss tupe maujanja? una boom % ngapi?
utakaa hostel au kitaa?
kwa pesa yako fanya haya:
1. nunua bajaj/bodaboda kama kaa mazina alivo
shaur hpo juu. au
2.fungua stationary karibu na chuo, wateja zko wakubw watakua friends
zako. au
3.wekeza kijijn ktk kilimo au ufugaji, ila lazima uwe na msimamz asie na
tamaa na commncatn muhimu.
4.unaweza hiyo hyo mil 5 ukaitumia kwa matumiz madg madg na ww uka
concentrat kwenye shule, maana masomo na bizness wachache wanawz. au
5.fungua duka la nguo za kiume au kike karib na chuo, masharo na madada
duu watakua watja wakuu. au
6.njia ulio tumia kuziata hizo mil.5, endeleza hiyo hoyo na nakuambia
zitazaliana exponentially. au
7._________
ila usionge.
NB: naomba nijib maswal ya hapo mwanzo.
nunua bajaj au pikipiki uzifanyie biashara
Bajaj ndo ingekuwa safi
zaidi, hautaumiza kichwa sana na itakupa mda mzuri wa kujisomea na
usimamizi wake n mdogo
Hello wanajamvi hili la UJASIRIAMALI.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ipatayo 23 kwa sasa na nimwajiriwa, kimaisha kwa sasa ninaishi kwa kutegemea ajira yangu ili kuendelea na kuweza hata kuisaidia familia yangu kwa jambo moja ama nyingine.
KIMAHUSIANO
Sijaoa na sina mtoto na pia siko katika mahusiano ya kimapenzi na msichana yeyote kwa kipindi hiki kutokana na sababu nilizonazo binafsi.
BACK TO TOPIC
Okay kwa jitihada zangu za kimaisha imefikia mahali sasa ninaona kazi nanayoifanya haiwezi kunifikisha pale ninapotegemea na pia nahisi hata nikija kuwa katika ndoa hapo baadae nitashindwa kukidhi baadhi ya majukumu kama mwanaume katika familia so kwa hali hiyo nimeweza kudunduliza kiasi fulani cha pesa katika mishahara yangu ninayoipata na kuweza kufikisha kiasi cha Tsh Milioni 5.
Na dhumuni la mimi kufanya hivyo ni ili niweze kujikika katika biashara ambayo najua kwa MAWAZO YANGU + MAWAZO YENU itaweza kunifanya niweze kumudu maisha yangu ya baadae vyema.
MAWAZO YANGU
Mawazo yangu kibiashara nimefikiria biashara ambayo haitanichukua mda mrefu kuwepo maeneo yale ingawa nitakuwa nafatilia kila siku na kama tunavyohisi wengi hakuna biashara isiyokuwa na hasara either inaweza kuwa ndogo au hasara kubwa basi sasa nimejikuta na wazo la KUFUNGUA DUKA ambalo litakuwa na mchanganyiko.
1: Sehemu ya M-PESA,TIGO-PESA,LUKU nk.
2: Sehemu ya pili ni VIPODOZI vya kila aina au Sehemu ya pili ni WINE na pombe kali zingine.
MAWAZO YENU YA MUHIMU
Kiukweli hiyo ni mawazo nilionayo kwa sasa ila sina uzoefu kwa Biashara hata moja ingawa najua hakuna anaeanza anajua wote tunajifunzia hapa hapa SASA naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa KATI ya hizo biashara nilizoorodhesha hapo juu anisaidie kimawazo NIANZIE WAPI ili kuweza kufanikisha jambo hili.
NB:Na pia kama unamawazo tofauti ya biashara nyingine ambayo unahisi kwa mtaji nilionao utanisaidia sio mbaya ukinijulisha.
AHSANTENI SANA NATEGEMEA MAWAZO MAZURI KUTOKA KWENU.