Mtaalamu wa "gender"

Unamtafuta! kapotea au unamaanisha nn, andika vema ili wataalamu wa jinsi(sex) na jinsia(gender) wachangie
 
unamuhitaji kwa ajili ya consultancy au kitu gani. Yuko mmoja namfahamu ana masters ya gender analysis economics
 
Yes kwa ajili ya consultancy ila awe tayari kuzunguka vijiji vya Tanzania. Ajue kiswahili kizuri na kiingereza.
 
Back
Top Bottom