Mtaalam anatafutwa

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Wataalamu nisaidieni. Nataka mtu wa kunielimisha kuhusu HYDROPONICS.

Ningependa mtu atakayenielewesha namna ninavyoweza kutengeneza bustani za hii.
 
HYDROPONICS ni fursa kubwa kwetu, jamani wataalamu wa kilimo mko wapi? naomba msaada!!
 
Back
Top Bottom