Mtaala wa A-Level Physics

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,599
19,510
Kitabu nilichotumia A level Physics ni hiki hapa, na tulikimaliza chote ndani ya miaka miwili. Ninatafuta kitabu cha Physics A level kinachotumiwa leo sijafanikiwa kukipata; mwenye kopi yake anisaidie. Ninajua kuna topics ambazo zimeshiptwa na wakati, kwa mfano zile za Cathode Rays na Thermionic Valves zitakuwa zimeshapitwa na wakati lakini ningetegemea kuwamo kwa topics za kisasa zaidi za semiconductors na solid state electronics.
 
Attachments

  • nelkonparker-advancedlevelphysics.pdf
    48 MB · Views: 5
Kitabu nilichotumia A level Physics ni hiki hapa, na tulikimaliza chote ndani ya miaka miwili. Ninatafuta kitabu cha Physics A level kinachotumiwa leo sijafanikiwa kukipata; mwenye kopi yake anisaidie. Ninajua kuna topics ambazo zimeshiptwa na wakati, kwa mfano zile za Cathode Rays na Thermionic Valves zitakuwa zimeshapitwa na wakati lakini ningetegemea kuwamo kwa topics za kisasa zaidi za semiconductors na solid state electronics.
Shukrani sana kwa ku-share hiyo soft copy.
Nilikuwa A-level 1985-87!
 
Hicho ni form six current syllabus ukitaka na form five pia kipo
 
Attachments

  • PHYSICS F6 Wazaelimu.com .pdf
    29.9 MB · Views: 4
Back
Top Bottom