Arsenal
Senior Member
- Aug 12, 2008
- 190
- 71
Jamani kwa wale ambao ni wapenzi wa kupita huu mtaa ili kukwepa foleni kuweni waangalifu mana leo hii rafiki yangu kapita ule mtaa akakuta magari yameshona so since ile njia ni no entry kutokea barabara ya Ali Hassan Mwnyi akaamua kutengeza line ya pili akasogea mpk hatua kama moja tu kuingia Ali hassan mwinyi rd saa ngapi askari asimfate na kumwambia kwamba ana kosa la kutanua!! na adhabu yake ni wiki mbili jela!! basi uku na uku ubishi wapi!! geuza gari break ya kwanza Obey police station kosa kutanua no mjadala ni wiki mbili!! dah!! jamaa kanywea kete kazidiwa yupo angle akaamua kuongea kwa herufi kubwa police wako watatu mwanamke mmoja wakamtoa 70k jamani sio utani leo leo asubuhi akazunguka uhani akachukua ndinga yake kaenda job siku yote imeharibika!!!
SWALI;
Hii njia c no entry ukitokea Ali Hassan Mwinyi rd? so kwanini wanakataza two lanes? wakati hakuna gari linaloingia hii njia? zamani ilikuwa ivo yes but not now!!! .....Ma-trafiki tumieni akili basi this time ni rush hours ata wale wanaopita vichochoroni wanasaidia kupunguza mnyororo kwenye main rd mana kila mtu akipita main rd itakuwa balaa.
kwa wale wasio ijua hii njia ni ile ya ubalozi wa marekani wa zamani karibu na stanbic bank ya pale Ali Hassan Mwinyi rd!!