Mstahiki Meya wa Jiji: Madiwani ni machawa wako

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
772
1,960
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Dourmohamed Issa amesema madiwani wa mkoa huo wataendelea kumuunga mkono Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson kutokana na utumishi wake uliotukuka.

Mstahiki Meya huyo amesema hayo leo Januari 24, 2023 mara baada ya Spika Dk Tulia Ackson, kukabidhi bima za afya ya jamii iliyoboreshwa (ICHF) kwa wananchi 3,000
kutoka kaya 500.
 
Back
Top Bottom