Msitari mweusi chini ya kitovu

hat mimi nilisikia na kuamini kabisa kuwa mwanamke wa hivyo aidha alishazaa au alipata ujauzito(kutoka au kuharibika not withstanding) na niliamini!!niliamini kwasababu alieniambia ni binti mmoja daktari ambae alikuwa na ukaribu wa kutosha na mimi.sasa naanza kuchanganyikiwa!


kwa nini unachanganyikiwa? funguka
 
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa

hahahaha wizzo acha kumtisha mwenzio
 
Ila kuna ka ukweli
mwanamke akiwa nao dark sana mara nyingi huwa ameshawahi pata ujauzito
japo on every rule kuna exceptions

afu wakaka msianze chunguza gf zenu hamtawala.
 
Huo upo kwa mtu yyt sema tunatafautiana tu. Wengn tangia wadg unakua dark na kuonekana waziwazi, wengine unakua mwembamba na light sn. Ila mara nyingi ukiwa mjamzito unaonekana zaidi coz unapanukana ukishajifungua unarudi km mwanzo
 
Rubuye 123, Huyo Dr aliekwambia nna wasi wasi na shule yake mwangalie hata mtoto mdogo anao

ndugu yangu we!!huu 'uzururaji' ulikuwa unatukutanisha na watu wengi kwelikweli bana.ni mtu nilikuwa na mahusiano naye na yeye alikuwa nao so one day nikauliza ndo nikapewa majibu hayo.labda alikuwa kihiyo mkuu,ngoja niendelee kujifunza!
 
kwa nini unachanganyikiwa? funguka

hata naeleewa vizuri basi broda!!?alieniambia ni tabibu kabisa na nilimuamini sana as mi kusoma mambo ya mwili na madawa ilinishinda so nikasoma 'hela' so nilimwamini kwa kuheshimu taaluma yake bana,inawezekana alikuwa ananipiga fix,kudadeki zake!!
 
pregnant-ghetto-copy.jpg
 
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa

............acha kupotosha watu.
 
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa

... "Good idea!"
Kampe ushauri huo Lundenga ili awachunguze wale wa2 wake kama waliishazaa/kubeba mimba au bado.
Atawakamata kirahisi.
... Lakini kwa greater thinkers bado sana kushawishika na hii statement yako!
 
... Upo wakati wote,ila wakati wa ujauzito unakuwa dark zaidi na mpana. Katika hali hii unakuwa dalili mojawapo ya kususpect pregnancy... Kitaalamu unaitwa Linea Gravidarum [kwa wakati huo wa ujauzito].
 
kwa mama mjamzito unaonekana zaidi na pia unapanda juu ya kitovu kama hiyo picha inavyoonekana hapo juu.
lakini mama akisha jifungua hurudia katika hali yake ya kawaida chini ya kitovu ingawa huchukua muda kidogo zaidi hata ya mwezi.
 
...huu mstari huitwa linea nigra hutokea kwa 3/4 ya wanawake wajawazito na zaidi wenye ngozi nyeusi. Kwa wanaume hii kitu sidhani,hakuna..(wanaume hebu jikagueni).

...From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search

Linea nigra dark midline streak on a 22 weeks pregnant female.



A Cesarean section scar (horizontal red line) and linea nigra visible on a 31 year old female 7 weeks after childbirth.


Linea nigra (Latin for "black line") is a dark vertical line that appears on the abdomen during about three quarters of all pregnancies.[SUP][1][/SUP] The brownish streak is usually about a centimeter in width. The line runs vertically along the midline of the abdomen from the pubis to the umbilicus, but can also run from the pubis to the top of the abdomen.[SUP][2][/SUP] Linea nigra is due to increased estrogen levels[SUP][citation needed][/SUP], which also causes melasma and darkened nipples. Fair-skinned women show this phenomenon less often than women with darker pigmentation.[SUP][citation needed][/SUP] Before it appears it may be more faintly visible as a white line.[SUP][https://www.jamiiforums.com/wiki/Wikipedia:Citation_needed[/SUP]
 
...huu mstari huitwa linea nigra hutokea kwa 3/4 ya wanawake wajawazito na zaidi wenye ngozi nyeusi.

RIGHT !!!

... Haya ni maneno ya kilatin:

> Linea Nigra = mstali mweusi
..... Linea= line au mstali
..... Nigra= black au mweusi.

Huo mstali ukitokea kwa mjamzito unaitwa:

> Linea Gravidarum= Mstali wa ujauzito.
... Linea = mstali
... Gravidarum = ujauzito.

> linea gravidarum inaweza kuwa nyeusi [nigra ] or whatever ingawa mara nyingi huwa nyeusi[linea nigra].


... Pamoja ?!
 
Huo mstari kila mtu anao ila kwetu wadada unaonekana zaidi,
Huo mstari km walivyosema unaonekana zaidi mtu akiwa mjamzito,
Lkn haimaanishi kila aliyenao lzm alishakuwa na mimba,alitoa mimba au kuzaa,
Mie ninao na sijwahikuwa na mimba wala kuzaa,mdogo wangu naye anao na still ni toto mdogo,
Ninaye anti yangu ni SISTER kbs anao na hajawahi kuwa na mimba wala kuzaa.

nyie huu wenu sio tunaouongelea hapa,huo wenu ni mstari wa ukoo.
 
hivi huu ni sawa na ile mistari mingine iliyojaa tumbo zima kwa akina mama? Maana kuna mwingine niliuona kwenye kalio.
 
Nafunga mjadala,

huu mstari ni kweli upo chini ya kitovu na huwa unapanda taratibu kadri ujauzito unavyozidi kukua inapofika wiki ya arobaini na kuendelea msitari unakuwa unaonekana kuanzia chini ya kitovu mpaka mwanzo wa tumbo juu( kama ilivyo kwa huyo dada kwenye picha.

Pia taarifa ambazo sio rasmi, nilishawahi kusikia baadhi ya watu wakiulinganisha huo msitari na uzazi (kwa upande wa wanawake) yaani kama huna huo na wewe ni mwanamke basi huwezi kupata mtoto.
 
Back
Top Bottom