Msimamo wa Jumuia ya Uamsho zidi ya Katiba na Ukushanyaji maoni kwa Wzanzibar.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 25/06/2012 // Sauti // 8 Comments

sheikh_farid-564x272.jpg

Kwa hisani ya mwandishi Salma Said,

Bonyeza vidio
Sauti:Tamko la UAMSHO | Mzalendo.net
Chanzo www.mzalendo.net
 
Jee nikwa nini kujita Mzanzibar ni fahari lakini kujita Mtanganyika ni aibu? Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar nchi Tanganyika ilikuwa inaitwa vipi? hata iwe leo inapigwa chenga? Jee Mwalimu Nyerere 1961 alipewa uhuru wa nchi gani?.

Ama kweli mzarau kwa mtumwa hivyo kweli inaingia akilini kuwa mama aliokuzaa leo umzarau na kumzalilicha kwa kuwa mchamba? Jee muungano wa Tanzania ukivunjika mutarudi katika jina gani ? ikiwa Tanganyika hauitaki?, au Tanganyika ni jina la ukoloni basi lipi jina lililokuwa sio la ukoloni kabla ya Ndowa ya Tanganyika na Zanzibar?.

It is Shame & Sad kuto kuitendea haki Tanganyika yenu muliopigania uhuru wa 1961 siwote watanzania waliozaliwa katika Muungano wa Tanzania jee wale waliokuwa kabla ya Muungano mutawaita kwa jina gani?.
 
Jee nikwa nini kujita Mzanzibar ni fahari lakini kujita Mtanganyika ni aibu? Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar nchi Tanganyika ilikuwa inaitwa vipi? hata iwe leo inapigwa chenga? Jee Mwalimu Nyerere 1961 alipewa uhuru wa nchi gani?.

Ama kweli mzarau kwa mtumwa hivyo kweli inaingia akilini kuwa mama aliokuzaa leo umzarau na kumzalilicha kwa kuwa mchamba? Jee muungano wa Tanzania ukivunjika mutarudi katika jina gani ? ikiwa Tanganyika hauitaki?, au Tanganyika ni jina la ukoloni basi lipi jina lililokuwa sio la ukoloni kabla ya Ndowa ya Tanganyika na Zanzibar?.

It is Sheme & Sad kuto kuitendea haki Tanganyika yenu muliopigania uhuru wa 1961 siwote watanzania waliozaliwa katika Muungano wa Tanzania jee wale waliokuwa kabla ya Muungano mutawaita kwa jina gani?.

Imetolewa na: Abdulahsaf
  • Mwarabu
  • Mpemba
  • CUF member
  • Uamsho member
  • Yeye na Maalim Seif damu damu

Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom