Msimamo wa Jeshi la Polisi kufuatia mauaji ya Raia Arusha

They are coming out in their true colours. Eti kuheshimiwa kwa viongozi walio mamlakani? Wairaq hawakumheshimu Saddam Hussein kwa sababu alikuwa anawaibia na kuwaua. A leader earns the respect of his people, not demand it.

Endorsed.
 
Siamini nachosoma!

Yaani wamechakachua suala wazi na ukweli kama uuaji wa raia wasio na hatia Arusha?.

Tz Police = thugs & criminals in uniforms (orderly)
 
Tz ina laana?

Hivi hakuna hata chembe kidogo ya hekima! Si afadhali hiyo "taarifa" ya polisi isingetolewa. Maana ni crap.
Vibaraka wa watwala wanaweza kuwa mafuta kuwasha moto na vita Tz. It's a seriously delicate issue which the deformed mindset like those should never dare come closer, let alone handle it.

Lakini, CCM hawana legitimacy ya kutawala maana hawakushinda uchaguzi. Hivyo watatumia mabavu na fedha kutafuta legitimacy....msiwape nafasi.
 
Kama huyu IGP anasoma humu AMA Kama kuna wapambe wake wanaomsomea na kumtafsiria yanayiandikwa humu age bass na akanushe hivo vipengere ulivunukuu labda waseme kwamba Neno at earierist ni ambiguous ingawaje kazi ya kutafsiri si Yao ni ya akina pilato! Wahusika wote waliohusika ktk jambi hili la Arusha wajipime jama mwenzao Lowasa ba lowasa atajiwekea mazingira mazuri kisiasa Kama atatamka hadharani kuwataka wahusika wajipime Kama alivyojipima! Come lowasa say something!!!

nimependa maoni yako,lakini kinachonikera unaangalia upande mmoja wa sh?mbona ujasema sheria inasemaje kwa watu wanaokaidi sheria
 
Back
Top Bottom