Msikiti unaoongoza kwa kutembelewa na hata wasio waislam huu hapa

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
BBC - Travel - Slideshow - The United Nations of mosques
All are welcome In many of the world's most beautiful mosques, visiting hours are limited and non-believers must tread wearily. But not Abu Dhabi's Sheikh Zayed Grand Mosque. The gleaming white, fairytale-like structure, unveiled in 2007, was built with the express purpose of promoting interactions between not only Muslim cultures, but between Islam and other religions as well.
Diversity is reflected by the mosque’s architects (they were British, Italian and Emeriti), by the materials used (tiles were sourced from Turkey, wool from New Zealand and crystals from Germany) and by the open-door policy that harkens back to the golden age of Islam. It now attracts more than one million visitors a year. “Everyone is welcome here, whether they are Jewish or Christian or atheist,” said mosque tour guide Leila Ahmed. “That is what's so special about this place. Sheik Zayed's vision for the mosque was not just a place where Muslims can pray, but a platform for cultural exchange.” (Ian Lloyd Neubauer)

Hakika kila kitu kinachotokea katika msikiti huu kinashnagaza: Je, hawa wenzetu wanaofadhiri UKAWA wanaweza kuruhusu msikiti wao kutembelewa namna hii?

p01vy3dz.jpg
 
Ndugu jibu la haraka hakuna. Mwanaadamu anapozaliwa tu huzaliwa katika fitratul al islam (huzaliwa muislamu) kama wazazi si waislamu wao ndio baadae humtoa ktk uislam. "Kullu mauluudu yuuladu fii fitratu al islam" alhadith
 
Hivi hakuna mwislam kaffir?? Msaada tafadhali

Hakuna. "Kullu mauluudu yuuladu fii fitrati al islam" al hadith. Kila kinachozaliwa huzaliwa ktk uislamu. Wazazi ndio huwabadili. Kwanini hakuna muislam kafiri? Hivi ndugu yangu ni vitu viwili tofauti.haviwezi kuwa pamoja. Maana ya kafiri (aliekengeuka na amri za Allah) na miislam (aliyesalimika) sasa utaviwekaje pamoja.? Hata kama unamuona mtu ni muislamu bt akichupa mipaka (kuna mambo yanamtoa ktk uislam ) huyo hugeuka kuwa kafiri hata kama kimtazamo mtazamo unamuona ni muislamu. Uislam umejengeka kwa sifa njema tupu. Huwezi kuuhukumu uislam kwa muislam. Nadhani utanielewa ndugu
 
Ansante mkuu kwa maelezo mazuri nimekuelewa.
 
Leo ndio nimefahamu kwamba kumbe kuna waislamu makafiri,tena mimi nadhani asilimia kubwa ni kutoka katika hizi nchi zetu za kiafrika,ambapo wengi uislamu wao uonekana wakati wa mwezi wa ramadhani,hata waimba bongo fleva wanaojulikana kwa uhuni uandaa futari
 
Naona maelezo ya mkuu muhtand hujayaelewa. Ukishakengeuka na kufanya tofauti na Uislam unavyoelekeza kuanzia hapo haupaswi kujiita Mwislam bali wewe ni Kaffir. Si ndo hivyo mkuu muhtand?
 
Ndugu jibu la haraka hakuna. Mwanaadamu anapozaliwa tu huzaliwa katika fitratul al islam (huzaliwa muislamu) kama wazazi si waislamu wao ndio baadae humtoa ktk uislam. "Kullu mauluudu yuuladu fii fitratu al islam" alhadith

na wapagani ni kina nani? Je kabla uislam haujaanza m2 akizaliwa alkua dini gani?na je hii sheria ya m2 akizaliwa ni muislam automatically imeanza lin? Majibu tafadhali.
 
Naona maelezo ya mkuu muhtand hujayaelewa. Ukishakengeuka na kufanya tofauti na Uislam unavyoelekeza kuanzia hapo haupaswi kujiita Mwislam bali wewe ni Kaffir. Si ndo hivyo mkuu muhtand?
Kweli ila kunahitajika ufafanuzi.
Suala la kumfanyia Muislamu takfir (kumtoa katika Uislamu) si jepesi, kuna vitu vya kuzingatia kama vile ufahamu (iwe anafahamu kuwa anachokifanya au kukisema ni kufru, matakwa na mengineyo.

Mfano unamkanya mtu kuhusu ulevi na yeye anakwambia ulevi si haramu, alichokisema ni kufru kwa sababu amehalalisha alichokiharamisha Allah, lakini je anakuwa kafiri?

Hapo inatizamwa kama huyu mtu mwenyewe kweli alikuwa akijua kuwa kuna Aya na Hadith zinazokataza ulevi (kama alikuwa hajui anasamehewa kwa "ujinga" kutokujua) vilevile kuna kuangaliwa je alikusudia au ni neno tu lilimtoka na mengineyo.
Kiujumla si suala rahisi.

Ama yule Muislamu aliyeangukia katika maasi kutokana na udhaifu wake tu basi huyu hatumwiti Kafir, anaweza kuitwa Faasiq, muovu, fisadi..

*Kuna Hadithi mbalimbali zinazoonyesha kuwa makafiri walikuwa wakiingia msikitini wakati wa Mtume.
 
Mwandishi anathibitisha ya kuwa Uisilamu si dini ya ubaguzi. 
Koran inakujibu wewe mwenye upofu wa macho:

Surat Al Maida 51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
 
Huo sio msikiti. Msikiti haingii kafiri

Hakika Makafiri hawata ingia Msikitini kwa sbabu ya chuki iliyo jaa kwenye nyoyo zenu.

Surat Al Anfaal 12. Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

460x.jpg
 
Ndugu jibu la haraka hakuna. Mwanaadamu anapozaliwa tu huzaliwa katika fitratul al islam (huzaliwa muislamu) kama wazazi si waislamu wao ndio baadae humtoa ktk uislam. "Kullu mauluudu yuuladu fii fitratu al islam" alhadith

Delusons kali hiyo ya kuaini kila mtoto anapzaliwa kuwa ni uislam
 
Sababu mojawapo ya Mayahudi kubobea katika pornography na liwati ni kuwa walichukua tabia hizi kutoka kwa Nebuchadnezzar.
 
Back
Top Bottom