Wachumia tumbo hawa!
Leo ndo wanajifanya wanafunguka?
le caméléonDr. Bana amesema hatashangaa kuona chama kingine kikishika dola mwaka 2015 kutokana na mwenendo huu wa chama tawala.
Dk. Bana is opportunist in nature, and he represents majority of Tanzanians who had the opportunity to attend school (not learned).
He normally express what he doesnt believe that is why can not have justification on whatever he says. Afadhali akina dr Lwaitama. Lwaitama is known for his sincere critis agaist the system ili aisaidie ifanye vema. Sasa huyu benseni burner ana inferiority complex kwa watawala.
Anaganga njaa!
He is right to some extent! kiukweli historia haiibebi ccccm ila kuna kitu kigumu sana lazima wafanye ili kurudisha imani kwa wapiga kura. Ukweli uliodhahiri ni kwamba mara nyinyi watawala wa kiafrika huwa hawaamini kuwa ipo siku wananchi wao wanaweza kuwageuka. Kwa viongozi wenye kuona mbele wanatakiwa kuikubali hali halisi ili mabadiliko yasiathuri heshima yao na vizazi pamoja na hatma yao ya baadae. Matendo yoyote maovu kwa wapinzani ni kuzidi kuchochea chuki kati ya watawala na watawaliwa. Je siku wapinzani wakichukua dola kweli kuna usalama kwao?. Mfumo wa vyama vingi usiwe mtego kwetu, tumeukubali basitukubali na matokeo yake. Leo unmpiga kirungu kichwani mpinzani wako kwa kutumia polic keshokutwa anakuwa rais kibinadam hapo lazima mtataftana tu. So tukubali kukosolewa, cccm iheshim wapinzanni ijipange na kujisahihisha ili ipambane kwa hoja na sikutegemea nguvu za dola. Vinginevyo kuendelea kutumia dola mwishowa siku ikipoteza tu visasi havitaepukika