Msigwa hana busara ya kutatua matatizo ya wamachinga Iringa. Vurugu hazijengi bali zinabomoa!

Mkubwa kuhusu suala la kumuunga au kutomuunga mkono Msigwa inategemea na anachpokileta jukwaani.
Kama nia yake ni kutafuta umaarufu bila kuangalia athari zake kwa wananchji hilonitalipinga milele lakini kama anatoa mawazo ya maana kwa manufaa ya wananchi kwa nini nisimuunge mkono,

Itikadi pembeni, lazima tujadiliane kwa faida ya taifa letu.

Kama msigwa akifanya kazi aliyotumwa vizuri hata mimi nitampigia kura.

Mbona Ndesamburo amefanya mengi jimboni mwake na kila mtu anamsifia kwa hilo wakati yeye ni Chadema?
Inaelekea bunge ulifatili,juzi bungeni msigwa alizungumzia kuhusu ufungwaji wa barabara jumapili ili kuwawezesha machinga kufanya biashara na hizo taarifa zipo halmashauri Je hilo sio jambo jema,unachokitaka wewe ni kipi kama sio ubabe..
 
Inaelekea bunge ulifatili,juzi bungeni msigwa alizungumzia kuhusu ufungwaji wa barabara jumapili ili kuwawezesha machinga kufanya biashara na hizo taarifa zipo halmashauri Je hilo sio jambo jema,unachokitaka wewe ni kipi kama sio ubabe..
Kama alisema hivyo namuunga mkono lakini nimesikiliza clip iliyowekwa hapa JF sikusikia akisema hivyo, labda ilikatwa
 
Tutawaleta Serengeti wasaidie kukagua magari yanayosafirishwa TZ ili waachane na U-Machinga
 
Hapa tunajadili kutafuta solution, sio lazima mawazo yangu yatumike .
Unaweza kuchangia ushauri wako pia badala ya kutukana, ukinitukana mimi haitakuongezea lolote katika maisha yako zaidi ya kukuzidishia mtimanyongo tu
Kweli Lukosi unaumwa!
 
Unajua ukiwa unaweza wezo wa kulipa ada za watoto wako katika shule au chuo chochote utakacho, ukiwa na usafiri shangingi tena linalonyweshwa mafuta kwa fedha za walipa kodi, matunzo ya nyumba yako na garantee ya matibabu, unawezaje kuwa na uchungu na watu ambao kula kwao kutunza familia yao kwa ada na matibabu kunatokana na pesa ndogo wanayopata kwa vi biashara vidogo. hakika hawezi mafisadi wakubwa hawa.

Turudi chuoni hawa wanaofanya maamuzi ndio wanajiita wasomi sasa tuangalie somo la Marketing linasemaje kuhusu biashara, biashara yoyote inapaswa kuwa positioned in a place ambayo watu wanaweza kufikia kwa urahisi na ikumbukwe wamachinga wengi wengi wanauza vitu vidogovidogo ambavyo maranyingi watu hununu wakiwa katika pilika zao za mjini na sio mtu amekuwa amepanga pengine, sasa ukiwaweka machokoroni unataka nini yaani wafe wewe upete, kweli akili ndogo kutawala akili kubwa
 
Kama alisema hivyo namuunga mkono lakini nimesikiliza clip iliyowekwa hapa JF sikusikia akisema hivyo, labda ilikatwa
Mimi nimesikiliza bunge mwanzo mwisho,aliomba serekali kuwajali wamachinga wa Iringa,tena akatolea mfano machinga wa Mwanza,Mbeya wao walikutana na waziri kwenye mahotel makubwa wakaafikiana lakini Iringa hawakufanyiwa hivyo..
 
Nimejaribu kupitia ulichoandika,nimeona umeamua kuandika ili tujue kuwa na wewe bado unaishi.
  1. Hivi pale mashine tatu kuna mabasi yanayosimama au kuna mabasi yanayopita pale kuingia stand kuu?
  2. Umeshauriwapelekwe barabar mbili,hivi tofauti ya barabara mbili na mashine tatu ni ipi,hapo barabara mbili na mbali kutoka stand kuliko mashine tau au unachokiona wewe ni tofauti ya kuwa na mshine tu?
  3. Umesema wapewe maeneomakubwa, hivi pale kitanzini ni pakubwa kama unavyosema?Watembea kwa miguu watapita wapi?Au hujui kuwa kuna watu hawana nauli za kupanda mabasi kwenda Ipogolo na maeneo mengine ya uelekeo ule?Unafikiri waliotengeneza ile njia maalum kwa watembea kwa miguu walikuwa wajinga?
  4. Hawa machinga wameanza lini kufanya biashara pale mashine tatu na nani aliwapa eneo lile kufanyia biashara, ni mchungaji Msigwa au CCM walipokuwa wakibembeleza kura? Baada ya kukosa wamegundua kuwa njia pekee ni kuwaondoa pale kama sehemu ya kuwakomoa.

Uchungaji wa Msigwa si sababu ya kukaa kimya wakati anaona watu wanaonewa na yeye ni kiongozi wao. Yangetokea matatizo yeye akiwa kanisani mngesema kuwa anashindwa kwenda kusaidia kutatua matatizo kama alivyofanya SUGu na badala yake amekuwa akishinda kanisani.Najua mnatafuta wapi pakumkamata Msigwa hata kama hahusiki kwa lolote.

Najua hata vurugu za machinga Mbeya mlitamani kusema CHADEMA ndio waliosababisha ila mlishindwa kwa sababu Mbunge hakuwepo wakati zinatokea.

Ushauri wako wa wapi wapelekwe ulitakiwa kuishauri serikali yako ya CCM.Maandamano na vurugu ishara ya watu kuchoshwa na unyanyasaji wa kwa kuwa hawasikilizwi, njia pekee wanayoiona ni hiyo.Baada ya vurugu za machinga Mbeya, waligundua kuwa CCM hawana busara ndio leo hii Mbeya kumetulia.
NAFIKIRI MSIGWA ALICHAGULIWA NA WANANCHI NA KAMA HAFAI, WAO NDIO WATAKAOMHUKUMU 2015.
NISINGETAZAMIA KUPATA MAWZO YA KUJENGA KUTOKA KWA MWANACHAMA WA CCM HASA KAMA JIMBO HILO LINASHIKIRIWA NA CHADEMA.

Wakati wa vurugu za Mbeya, alitokea mwanaCCM mmoja ambaye kwa maelezo aliyokuwa akitoa ndani ya JF yalionyesha wazi kuwa hapafahamu kabisa Mbeya, ila kwa sababu alitaka tujue kuwa bado anaishi, alidirki kusema kuwa mMbunge wa Mbeya (SUGU) kasababisha wamachinga wamepanga biashara zao katikati ya barabara ya MAFIAT na ndicho chanzo cha msongamano wa magari wakati eneo la MAFIAT hakua hata mfanyabishara mmoja.

Naomba mjitahidi kufikiria kwa ya kulaumu au kuandika.

NASHUKURU KWA KUWA UTAKUWA UMEELEWA.

NAAMINI UTATOA USHAURI NA SI KULAUMU.
 
mimi naona haina haja ya kurumbana tuache ushabiki wa kivyama; cha msingi tuwasihi viongozi wetu waache kuoneshana ubabe maana kamuhanda alipoitwa kwenye mazungumzo ya nini kuja na rundo la polisi;;;; na msigwa kama serikali amewaita kwenye mazungumzo hawarespond atafute njia mbadala na si vurugu mmetuchosha hata elimu zenu sasa mimi naona ni'''f'''' tu
 
Mimi nimesikiliza bunge mwanzo mwisho,aliomba serekali kuwajali wamachinga wa Iringa,tena akatolea mfano machinga wa Mwanza,Mbeya wao walikutana na waziri kwenye mahotel makubwa wakaafikiana lakini Iringa hawakufanyiwa hivyo..
Haya ndio matatizo ya kudharau watu.Angekuwa Mbunge wa CCM huenda angesikilizwa.Wameacha kusikiliza ushauri na haya ndio madhara yake.
 
Mimi sidhani Msigwa ameleta fujo kwa sababu hakurusha bomu na wala hakuna alichofanya. Walioleta fujo ni polisi. Wananchi wanapotaka kuonyesha kuwa maamuzi ya watawala hawayataki wanatoka mtaani ili waonekane, hata jana wananchi wa Italy waliandamana, lakini sikuona bomu lililorushwa na mapolisi. In fact walihamasishwa na watu fulani ili waandamane, lakini hao waliowahamasisha hawakuonekana kuwa wachochezi. Ni utawala ulioshindwa ndio unaowapiga mabomu wananchi wake na kusingizia uchochezi. Ndio mana alipofeli Hosn Mubarak alipofeli aliamua naye kuwaua wananchi wake, lakini leo yuko lockup?
Mpende msipende, serekali ya CCM imeshindwa na itaanguka tu
 
Jamaa yangu wamachinga wako mkila sehemu duniani.
Lakini kuna mpangilio maalum wa kuwawezesha wafanye biashara zao.
Wamachinga sio tatizo, tatizo ni namna ya kuwawezesha wafanye shughuli zao kwa amani ili nao wajiingizie kipato.

Wamachinga kwa tafsiri nzuri ni wafanya biashara ndogo ndogo kwa hiyo usijaribu kuleta tafsiri za ki bavicha hapa

wamachinga kwa tafsiri nzuri ni wafanya biashara ndogo ndogo!!!??
 
Ni ujinga mkubwa sana unaofanywa na mtu ambaye anayatambua mpaka mafundisho matakatifu ya mungu ambayo yanahimiza utii kwa mamlaka iliyoko juu. Mh kaacha kutumia diplomatic means ameamua kushakiza uvunjifu wa amani.

Huna akili ndiyo maana unaropoka.
 
Hizo stendi na mashine nazo si zipelekwe Mlandege au ni za vibosile? Ila wajameni mifujofujo mimi haijanipendeza mjue
watakaofanya hii nchi isitawalike ni poisi.polisi Tanzania wana mentality kama jeshi la kikoloni. suala dogo tu lazima watumie nguvu.Tunataka jeshi la polisi liboreshwe,liwe la kisasa litakalo kuwa na ushirikiano mzuri na raia.
 
Lakini pia ninapenda kukushauri ndugu yangu Msigwa kuwa kwanza kabisa wewe kama mchungaji ni aibu kubwa kuchochea vurugu leo siku ya kumuabudu Mungu. Ulitakiwa uwe kanisani sio polisi leo.

Yako wapi maadili ya Uchungaji?

Huu uchungaji ulisomea sehemu au ulijipatia tu kama dili ya kujitafutia posho?


Uchochezi wa CHUKI ZA KIDINI UNATUTIA MASHAKA SANA... WEWE NI MTU MZIMA UNATEGEMEWA KUWA UNA EXPOSURE ya kutosha!..

CHUKI ZA KIDINI UNAZOLETA HAZITAMFANYA MTU YEYOTE AIPENDE
CCM unayoipigania kwa mtaji wa dini!...

Hivi mgogoro wa iringa ni wa kidini? Unaingizaje dini mahali hapa? Waliogoma ni wakristo?

LUKOSI NI JANGA LA TAIFA.
 
Lukosi is like wale malaya wa kona bar, ukiwapa muda wa kuwasikiliza, basi watakua na sauti, usipowasikiliza, basi hawana sauti

yale maskrepa anayouza hayana thamani yoyote nyumbani
 
ukweli ni kwamba huyu mchungaji Msigwa ana akili za kishetani sijapata kuona,

Nitakuwa tayari kusimama mahala popote na kutetea msimamo wangu kuwa msigwa hana sifa za kuwa mchungaji labda kama mchuuzi wala siyo mchungaji.

Lakini pia ninapenda kukushauri ndugu yangu Msigwa kuwa kwanza kabisa wewe kama mchungaji ni aibu kubwa kuchochea vurugu leo siku ya kumuabudu Mungu. Ulitakiwa uwe kanisani sio polisi leo.

Yako wapi maadili ya Uchungaji?

Huu uchungaji ulisomea sehemu au ulijipatia tu kama dili ya kujitafutia posho?


Huu Udini wako wewe LUKOSI NA TIMU YAKO UNATUPELEKA WAPI?... Mkitukana wachungaji wetu mtaokoa CCM na kuifanya ipendwe?!


CHUKI ZA KIDINI UNAZOLETA JAMVINI HAZITAMFANYA MTU YEYOTE AIPENDE CCMunayoipigania kwa mtaji wa dini!...Hivi mgogoro wa iringa ni wa kidini? Unaingizaje dini mahali hapa? Waliogoma ni wakristo?

Wachungaji wameikosea nini CCM?
LUKOSI NI JANGA LA TAIFA!!!!!.
 
Lukosi is like wale malaya wa kona bar, ukiwapa muda wa kuwasikiliza, basi watakua na sauti, usipowasikiliza, basi hawana sauti

yale maskrepa anayouza hayana thamani yoyote nyumbani

Mkuu, nimeipenda sana comment yako, kwa kuongezea tu ni kwamba lukosi ni mikosi mitupu.
 
Wiki hii hii Mh. Msigwa alishauri serikali bungeni kuhusu suala la wamachinga kwamba wakae kikao na serikali na wapate ufumbuzi wa tatizo hilo.



Aliuliza ni kwa nini wamachinga wa Mwanza, Mbeya na Moshi wanasikilizwa na Wakuu wa Mikoa hiyo, lakini wa Iringa wanapuuzwa na daima kupelekewa polisi?

Sikilizeni hoja yake hapa, na kama angepewa ushirikiano wa kujaribu kutatua shida hii haya ya leo yasingetokea.

Wamachinga wanazidi kuona kuwa serikali haina nia ya kutatua matatizo yao, inawapuuza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom