Be patient! kama kweli unataka kumwoa usiwe na pupa. Lakini lazima uwe makini, usije kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Inawezekana hataki kukupa wewe, lakini kuna masela wanamega kinoma. Jaribu kuchunguza mkuu!!
Nataka kujaribu (kufanya nae mapenzi) amenikatalia. Ninampenda, nifanyaje?
Ameniambia mpaka tufunge ndoa. Nimemuuliza mara nyingi, yeye bikira, amenijibu hapana. sasa tatizo nini, aniielewi.
Nataka kujaribu (kufanya nae mapenzi) amenikatalia. Ninampenda, nifanyaje?
Susy hivi si ulisema unataka mtoto vile l.o.lha ha haaaaaaaaaa!! Husninyo bana!!
ha ha haaaaaaaaaa!! Husninyo bana!!
huyo ndo Husninyo mwengine fotokopi
.
Nataka kujaribu (kufanya nae mapenzi) amenikatalia. Ninampenda, nifanyaje?