Msichana ninayetaka kufunga naye ndoa

hapo ngono tu na sio ndoa tel us truth...na kama hujui hiyo ngono si atakuacha kabla ya ndoa cha kufanya wewe weka kwanza ndani na hata kama **** katika majombozi hatakumwaga.....nimekushtukia unataka urambeee...halafu sisi tusile hata wali wa pilau..r.i.p
 
Mkuu labda sema kwanza upo nae kwa mda gani??na je kama mmefikia sehemu ya kutaka kufunga ndoa kwa nini anakataa??Anyway nadhani kuna something behind so be careful kabla hujajicommitte...hata mimi siwezi kuowa mpaka nionye kwanza...nitauziwaje mbuzi kwenye gunia bana.....Etii mpaka uniowe lol....
 
hata mimi kama hujanioa marufuku kuonja kama alivyosema husninyo kuchoka kuchezewa, ila tunawekeana mkataba kabisa siku tano kabla ya ndoa nakupa ukiona hujaridhika ruksa kuchapa mwendo na kuvunja ndoa. So na wewe ningekushauri hivyo hivyo umuulize anauhakika njundulu yake njuli kama anauhakika muandikishane.

Tahadhali
Kuna njundulu za aina kama mbili hivi na hii nimegeneralize
1. Inafiti kwenye kila zubri iwe nene, nyembamba, fupi, ndefu yenyewe kama mpira inatanuka na kusinyaa kama una ya hivi mdada ruksa kuringa mpaka karibu na ndoa.

2. Hii inatafuta ambayo itafiti nayo sasa kama mdada uko hivi una mtihani mzito sana usiringe sana waweza kuja umbuka

Kwa herini na wkend njema tuonane jumatatu
 
yani dunia ya leo demu unataka kumuoa anakataa kumegwa, lazima ujui mistari au unagundu eti ataki kuguswa ujue kmeo huyo au kashapewa story kwamba ww mchezeaji tu
 
Too short to be understandable.
Mmefahamiana lini??
Mnajuana kiasi gani??
Mmepima??
Unampenda kwa malengo gani??
Kama anasoma atashiriki vipi mapenzi???

Mmefahamiana lini?? Miaka 2 iliyopita
Mnajuana kiasi gani?? Tupo naukaribu sana, yeye na familia yake
Mmepima?? Ndio, tupo poa kabisa
Unampenda kwa malengo gani?? Ninampeda aje kuwa mama wa familia yangu
Kama anasoma atashiriki vipi mapenzi? Ameshamaliza chuo leval ya Adv diploma
 
Sema naye umsikilize, usilazimishe. Pengine anakuona una usongo zaidi wa kumdu kuliko kumpenda na kuandaa maisha ya pamoja
 
kwani kwenye maandalizi ya ndoa mmefikia hatua gani?

Akitimiza sharti langu, ndio nitatuma washenga kupeleka barua. Asipotimiza, nahisi atakuwa anipendi. Miaka miwili stori tu mpaka point zimeniishia. Back ground yake O-level, Adv, College., jemba zimeshapita kadhaa, kwa nini mimi mwenye nia ya dhati na ya kweli. Mpaka kupima tumepima, wote tupo swafii sawia.
 
Ufanye naye ngono ili umchoke? vumilia tu fanya haraka kama mmeridhiana basi chapchap fungeni ndoa kisha utakula tu hilo tunda!
 
Ufanye naye ngono ili umchoke? vumilia tu fanya haraka kama mmeridhiana basi chapchap fungeni ndoa kisha utakula tu hilo tunda!

Tatizo, nikiingia humo kwenye ndoa, sitaki kabisa kutoka njee ya hizo pingu. Moja ya sharti la mwanamke, amuweze mumewe sio mume amuweze mke.
 
Back
Top Bottom