Msichana jini aibuka dar

Sasa serikali au mahakama itahakikisha vipi? Watu wengine ufa kwenye gemu hasa wanapotumia energy nyingi kuliko iliyopo mwilini, yawezekana dada huyo ni wa shoka na anavuta kasi kwenye gemu sio mchezo; jamani kabla ya kumfuata basi tule balance diet ya kutosha lakini hata ukimtongoza tu unakufa, hii kali!

ndugu yangu, afadhali wewe umeuliza hilo swali.... samtaims mtu anakua na afya mbaya na akikutana na mwenye utaalam huishia kutota... maana hata huyo kwenye picha anaonekana afya gogoro

swali la msingi, yani mtoto wa miaka kumi na sita, ana madevu na kukomaa kama huyo wa kwenye hilo gazeti??? na anakwenda disko hivyo?

UDAKU MAZEE
 
Mtoto wa darasa la 6 ndani ya malavidavi.. kweli dunia imekwisha... TANZANIA BILA UKIMWI ITAWEZEKANA ?
hata tunavoviona ni vitoto vidogo vyetu navyo vimoo kumbee.. kweli ni hatari...haswa, kwa mwendo huu kweli hata kidato cha nne watafiki bila kukwaa virusi vya ukimwi.. taifa la kesho lisilo na afya madhubuti.. si ni hatari
 
huyu toto wa darasa la sita badala ya kukomaa na hesabu za skea ruti na kuchukua hii skwea ruti unaweka hapa skea yeye anahangaika na walimbwende ....khaaaaaaa halafu next year atalalamika mitihani migumu ohhh watoto wa academy wanaibiwa mitihani ...haya bana
 
Siamini kama ni kweli....hii ni waandishi wanajaribu kutafuta njia ya kujipatia pesa na umaarufu..hii issue imekuwa framed kama ile ya manyoya
...Hili nalo neno...Mbona hata hiyo picha ya huyo msichana mi sioni zaidi ya huyo aliyetoa mimacho kitandani au ndio denti??
 
1.Mungu yupo.....na pia shetani/jini nae yupo.
2.Shetani anaweza kumwingia mtu/msichana kama alivyofanya.
3.Lakini pia vyeti vya vifo vya waliokufa vinasomekaje? pale panaposema....source of death........daktari kaandikaje?
4.Kama kaandika unknown ndipo hapo waweza waza nguvu za giza zilitumika.
5.Kuna aliedai kuwa ukila kitimoto jini hakupati.....aelewe kuwa kuna madai/usemi kuwa yapo majini yanayoswali na mengine makafiri,wee kula kiti moto kwa sana lakini ukikutana na jini kafiri utaondoka.......huo ni uvumi na usemi wa mitaani.
 
Duh wadau sijui kama mmeona hii:-
Aisee! very very nice. Kijana licha ya umri mdogo alionao inaonekana anatisha sana katika anga hizo.
..Kwanza, ni darasa la Sita
...Pili, anatongoza pila wasiwasi
....Tatu, kwasababu roho ya zinaa ilikuwa imemkamata anaamua kwenda Disco
.....Kisha anapanga hafla fupi ya uzinduzi wa penzi... n.k!


Hapa kinachonitia wasiwasi ni kama Darasani napo yupo fiti kihivyo..!!!!!!!?? Mambo ya kitaifa na kimataifa pamoja na mabadiliko ya kiuchumi sijui kama anapata japo muda wa kuperuzi kitu....!?
Sipati picha mbele ya safari yetu kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki, Uwekezaji, Viongozi bora, Soko huria, Kujiajiri n.k............ EeMungu uturehemu.
 
ndiyo au hapana, yote ni majibu bali itategemeana na wpi ndiyo iwe na wapi hapana iwe,
sasa naona kijana kaweka ndiyo yake kwenye ufuska, na hapana yake kwenye masomo
ok lakini ndiyo maisha ya kileo
 
sasa darasa la sita unapiga gemu na unajua kutongoza,kwa kweli kama hilo jini lingekua haliui mpaka sidhani kama ungefika chuo na kama ungefika basi ungekuwa na wanawake 15,750
<br />
<br />
hv kwan std six hana***. Msikimbilie kuhoj std six, ulizen how old is he, coz frm ma experience mimi nmeanza ktongoza nikiwa std5 when i was 12yrs na bado ngoma nilitembeza fresh2. Hakuna cha kushangaa hapa.
 
Back
Top Bottom