Msiba wa Jasusi Agustino Mahinga umetufundisha mengi. Kuna mambo mengi ya kufanywa na Diwani Athumani

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,467
2,862
Kumekuwa na michango mbalimbali ya vijana kushangaa ilikuaje Mwl. Nyerere alimwamini Balozi Dr. Agustine Mahiga kuwa Director wa TISS akiwa na miaka 35 tu. Ikumbukwe, kwa mujibu wa wasifu wake, unaonesha Balozi Mahiga alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo Ofisi ya Rais akiwa na miaka 32 (hiyo ni mwaka 1977). Hii inatupa taswira vijana wanaweza na inawezekana kufanya mapinduzi ya kiuchumi/kibiashara kupitia vijana.

Mjadala mwingine ulijikita pale Balozi Mahiga aliweza kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya Mwl. Nyerere 1983. Baada ya hapo ndipo aliondoka na nchini na kutokomea kwenye shughuli za kidiplomasia.

Naendelea kutoa pole kwa familia na Watanzania kwa kupoteza jembe. Balozi Mahiga kamaliza safari yake kwa kutatua changamoto za usalama, ki-diplomasi, kijamii na kisiasa.

Pengine nitoe rai kwa Diwani Athumani, boss wa sasa Idarani ni namna gani anaweza kuongoza juhudi za kimkakati ili jamii kubwa ya Kitanzania (ambao ni vijana) wasipinduliwe. Mapinduzi ya kimkakati toka magharibi ni kuwafanya vijana kuwa busy kwenye vitu ambavyo ukipima huoni uzalishaji unaojenga biashara na uchumi endelevu kupitia shughuli wanazofanya.

Tanzania tuna nguvu kazi ya vijana wanamaliza elimu ya msingi, sekondari na vyuo; iko haja kuchukua hatua madhubuti kutumia akili na nguvu zao ili kujenga platform wazalishe na kukuza uchumi kwa biashara. Kuliko kutumia fedha nyingi kwenye udhibiti wa uhalifu usifanywe na watu ambao wangekuwa busy, basi kiwango cha uhalifu, usaliti na “kutumiwa” kingepungua.

Director Diwani Athumani una kazi kubwa kulifanya hili litokee kwa ku-set strategic investment models ili tufike nchi ya “maziwa na asali” kwa muda mfupi zaidi.

Howard Gardner mtafiti wa mifumo mbalimbali ya uwezo wa akili (intelligence); anasema, moja ya aspect ya kufika mbali kwenye nchi au organization ni kutumia intuition, imagination, interdependencies na ubinadamu. Mambo haya, yanakuwa msingi wa kila kinachofanyika kwenye nchi, taasisi za umma na binafsi zilenge kutatua matatizo ya wanadamu wengine.

Tukinukuu tafsiri ya Howard Gardner, inasema “Intelligence is the ability to solve problems, or to create products, that are valued within one or more cultural settings.”

Katika Makala hii sitajikita katika ukachero ambao wengi huwa recruited kwa merits za recruitment ni familia zao ni wasiri sana, au wana historia fulani. Hao nao wana sehemu yao ila kuna haja ya “kupanua goli”. Kumbe tunaweza kuwa na intelligence recruits kwenye eneo la creativity & innovation ili kujenga mkakatu wa kitaifa kwenye biashara na uchumi. Muktadha wetu Tanzania ni fikra za namna gani ya kutumia competitive advantage kwenye mauzo ya madini, gesi, mauzo ya agro-products, mauzo ya products za utalii kwa soko la nchi 8 zilizotuzunguka na ughaibuni pia. 1993 Rais wa USA, Bill Clinton moja ya mkakati wake ulikuwa usalama wa uchumi kwa kuifanya Marekani ipate kodi kupitia ongozeko la shughuli za biashara na uchumi.

Baada ya Covid19; DNA ya creativity & innovation haikwepeki ili usalama wa uchumi wetu, u-boost usalama wa taifa. Esau alipofanya shughuli zake za mawindo na kukosa chakula, ali-negotiate ya mdogo wake na kuuza uzaliwa wa kwanza akiwa na njaa. Wakati huu wa “utandawazi”, inaweza kuwa rahisi sana baadhi ya vijana “kutumika” kwa kuwa wana “njaa”

Role ya Public Sector ni kujenga mazingira wezeshi ili private sector iweze ku-bloom. Inahitaji jicho la ku-scout "new brains" ambazo zipo, kuleta mapinduzi ya uchumi na biashara ili tax base iwe kubwa kwa serikali ili Tanzania izidi kuchanua.

Tuangalie project models za nini tulifaya Tanzania, nini wenzetu walifanya nchi zingine na matokeo yake yalikuaje baada ya muda

Hii ni taarifa ya toka gazeti la ndani ikinukuu miradi yenye thamani ya 2TRIL.

Pension funds spend Sh2tr on investments in one year

Chanzo kingine kinaonesh ghorofa PSPF Golden Jubelee Tower ilijengwa kwa USD 70 million (sawa na TZS 112bn kwa exchange rate ya 2012. Yaweza kuwa TZS 161 bn kwa exchange rate sasa)

Nimeweka hii mifano kuonesha baadhi sources za hela ziko wapi, licha ya uwezekano wa kupata mikopo toka vyanzo vingine vya ndani na nje ikiwamo dhamani ya serikali kupitia BOT.

Zile USD 70 mil za kujenga ghorofa. Je tunaweza kupata dhamana ya serikali ili tungeziweka kwenye Public Private partnership tukitumia kwa kuwekeza kwenye kuchakata walau 25% ya kahawa ghafi inayozalishwa Tanzania kwa ajili ya exports. Kwa kila mwaka tungeuza kwa uchache tani 10,000 ya kahawa (Consumable coffee). Kahawa kg moja inauzwa USD 30 au zaidi. Kama tukipata 60% ya mauzo ya mwisho kwa 25% ya wastani wa kahawa tunayozalisha. Ina maana kwenye mzunguko wa fedha za ndani kupitia kahawa pekee kwa miaka 5 ya JPM zingekuwa zimepita TRIL 3.45;

Check sites hapa chini bei za consumable coffee kwenye soko.

Ubuy Canada Online Shopping For instant coffee nestle in Affordable Prices.

Ubuy Sweden Online Shopping For instant coffee nestle in Affordable Prices.

Amazon.com : instant coffee

Kuziba hili pengo la nini tunauza kama raw coffee vs mauzo ya mwisho ambapo tunatumia strategic competitive intelligence tool na consulting marketing firms tuongeze market share finished products za kahawa, chai, korosho, pamba badala “kulaliwa” kila siku.

Henry Ford anasema “Coming together is the beginning. Keeping together is progress. Working together is a SUCCESS” Umoja ni Nguvu na utengamano ni udhaifu’ wahenga walituasa.

Honestly, hatuwezi kujenga uchumi endelevu kama nguvu kazi ya vijana wataendelea kuwa absorbed kwenye bodaboda, kukaanga chips… These are hand to mouth kutoka kwenye 10% ya makusanyo ya halmshauri. Iko haja kujenga sustaible inclusive economy ili dira ya maendeleo ya Taifa itimilike kwa udhahiri zaidi.

Investment financing kwa kununua “technology & know-how” mrejesho wake ni mkubwa kwa fedha itakayowekezwa wakati huo huo kazi mpya kwenye mifumo rasmi zimezalishwa.

Nguvu ya vijana ikijengewa mazingira, basi ndege, SGR, bandari, Nyerere Hydropower na miradi mikuwa kama hiyo itajengwa huku tax base ikipanuka.

Tujipongeze Watanzania na hasa Hongera sana Mhe. Magufuli kwa kuweza kununua technology kufanyia operation za moyo JKCI. Kuna hela nyingi sana tumeokoa malipo ya fedha ili kupata huduma ya matibabu.

Hivyo basi, usalama wa Taifa letu pendwa Tanzania, kwenye karne ya 21, hatuna budi kuamua kwa haraka zaidi ili vijana wawe sehemu ya “jeshi” la kuzalisha ili kuongeza mauzo ya soko la nje la finished products ili tuanze kutengeneza balance of trade surplus.

Kitabu cha what is next; How to use theories using the theories of innovation to predict industry change anatupa basic principles kuhusu namna ya kujua, Signals of Change, kujua fursa ziko wapi (Opportunities), Ushindani uko wapi (Competitive Battles), namna gani ya kuwapunguza washindani (How to Size Up Competitors)na cha mwisho ni Strategic Choices.
Takwimu toka Worlb bank zaonesha, miaka ya ‘90, uchumi wa Tanzania ulikuwa USD 4.5 bil wakati Vietnam alikuwa na USD 6.5 bil. Wakati huo huo, Kenya alimzidi Vietnam GDP ya USD8.4bn.
Mwaka huu Uchumi wa Vietnam ni USD 260bil, Tanzania USD 60bil, Kenya USD 90 bil

Vietnam wananunua korosho yetu kwa wastani wa TZS4mil kwa tani kama kg moja ni TZS 4,000; wao wanauza zaidi ya TZS 50,000 kwa kg. Kama walinunua korosho ghafi tani 400,000 (tukapata 1.6 Tril). Wao waki-process wanapata

Check bei za consumables cashew products

Amazon.com : cashew

Ubuy Saudi Arabia Online Shopping For cashew in Affordable Prices.

1588648058662.png

Mwisho niwashirikishe homework niliyokuwa nafanya na watoto wangu. Umeona tigers wangapi. 4, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12 au labda 14. Ikiwa mtu anaona 4 au 6 iko haja akashirikiana na yule anaeona 12 hadi 14 ili fursa walau zaidi ya 10 zitumike kwa tija kuliko zile 4 zilizo easily visible.

Kupanga ni kuchagua. Tuchague kwenye kuongeza exports za consumable.

Nawatakiwa Jumatano Njema.

Fred
 
By Freddie Matuja Balozi Mahiga alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo Ofisi ya Rais akiwa na miaka 27 (hiyo ni mwaka 1977)
1977 toa 27 = 1950 ?!

Pia unataka Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa badala ya kushauri awe anawajibika kwa ajira za vijana wakati hilo ni suala la visheni ya taifa na siyo suala kuu yaani core activity ya idara ya usalama wa Taifa.
 
Kumekuwa na michango mbalimbali ya vijana kushangaa ilikuaje Mwl. Nyerere alimwamini Balozi Dr. Agustine Mahiga kuwa Director wa TISS akiwa na miaka 30 tu. Ikumbukwe, kwa mujibu wa wasifu wake, unaonesha Balozi Mahiga alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo Ofisi ya Rais akiwa na miaka 27 (hiyo ni mwaka 1977). Hii inatupa taswira vijana wanaweza na inawezekana kufanya mapinduzi ya kiuchumi/kibiashara kupitia vijana.

Mjadala mwingine ulijikita pale Balozi Mahiga aliweza kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya Mwl. Nyerere 1983. Baada ya hapo ndipo aliondoka na nchini na kutokomea kwenye shughuli za kidiplomasia.

Naendelea kutoa pole kwa familia na Watanzania kwa kupoteza jembe. Balozi Mahiga kamaliza safari yake kwa kutatua changamoto za usalama, ki-diplomasi, kijamii na kisiasa.

Pengine nitoe rai kwa Diwani Athumani, boss wa sasa Idarani ni namna gani anaweza kuongoza juhudi za kimkakati ili jamii kubwa ya Kitanzania (ambao ni vijana) wasipinduliwe. Mapinduzi ya kimkakati toka magharibi ni kuwafanya vijana kuwa busy kwenye vitu ambavyo ukipima huoni uzalishaji unaojenga biashara na uchumi endelevu kupitia shughuli wanazofanya.

Tanzania tuna nguvu kazi ya vijana wanamaliza elimu ya msingi, sekondari na vyuo; iko haja kuchukua hatua madhubuti kutumia akili na nguvu zao ili kujenga platform wazalishe na kukuza uchumi kwa biashara. Kuliko kutumia fedha nyingi kwenye udhibiti wa uhalifu usifanywe na watu ambao wangekuwa busy, basi kiwango cha uhalifu, usaliti na “kutumiwa” kingepungua.

Director Diwani Athumani una kazi kubwa kulifanya hili litokee kwa ku-set strategic investment models ili tufike nchi ya “maziwa na asali” kwa muda mfupi zaidi.

Howard Gardner mtafiti wa mifumo mbalimbali ya uwezo wa akili (intelligence); anasema, moja ya aspect ya kufika mbali kwenye nchi au organization ni kutumia intuition, imagination, interdependencies na ubinadamu. Mambo haya, yanakuwa msingi wa kila kinachofanyika kwenye nchi, taasisi za umma na binafsi zilenge kutatua matatizo ya wanadamu wengine.

Tukinukuu tafsiri ya Howard Gardner, inasema “Intelligence is the ability to solve problems, or to create products, that are valued within one or more cultural settings.”

Katika Makala hii sitajikita katika ukachero ambao wengi huwa recruited kwa merits za recruitment ni familia zao ni wasiri sana, au wana historia fulani. Hao nao wana sehemu yao ila kuna haja ya “kupanua goli”. Kumbe tunaweza kuwa na intelligence recruits kwenye eneo la creativity & innovation ili kujenga mkakatu wa kitaifa kwenye biashara na uchumi. Muktadha wetu Tanzania ni fikra za namna gani ya kutumia competitive advantage kwenye mauzo ya madini, gesi, mauzo ya agro-products, mauzo ya products za utalii kwa soko la nchi 8 zilizotuzunguka na ughaibuni pia. 1993 Rais wa USA, Bill Clinton moja ya mkakati wake ulikuwa usalama wa uchumi kwa kuifanya Marekani ipate kodi kupitia ongozeko la shughuli za biashara na uchumi.

Baada ya Covid19; DNA ya creativity & innovation haikwepeki ili usalama wa uchumi wetu, u-boost usalama wa taifa. Esau alipofanya shughuli zake za mawindo na kukosa chakula, ali-negotiate ya mdogo wake na kuuza uzaliwa wa kwanza akiwa na njaa. Wakati huu wa “utandawazi”, inaweza kuwa rahisi sana baadhi ya vijana “kutumika” kwa kuwa wana “njaa”

Role ya Public Sector ni kujenga mazingira wezeshi ili private sector iweze ku-bloom. Inahitaji jicho la ku-scout "new brains" ambazo zipo, kuleta mapinduzi ya uchumi na biashara ili tax base iwe kubwa kwa serikali ili Tanzania izidi kuchanua.

Tuangalie project models za nini tulifaya Tanzania, nini wenzetu walifanya nchi zingine na matokeo yake yalikuaje baada ya muda

Hii ni taarifa ya toka gazeti la ndani ikinukuu miradi yenye thamani ya 2TRIL.

Pension funds spend Sh2tr on investments in one year

Chanzo kingine kinaonesh ghorofa PSPF Golden Jubelee Tower ilijengwa kwa USD 70 million (sawa na TZS 112bn kwa exchange rate ya 2012. Yaweza kuwa TZS 161 bn kwa exchange rate sasa)

Nimeweka hii mifano kuonesha baadhi sources za hela ziko wapi, licha ya uwezekano wa kupata mikopo toka vyanzo vingine vya ndani na nje ikiwamo dhamani ya serikali kupitia BOT.

Zile USD 70 mil za kujenga ghorofa. Je tunaweza kupata dhamana ya serikali ili tungeziweka kwenye Public Private partnership tukitumia kwa kuwekeza kwenye kuchakata walau 25% ya kahawa ghafi inayozalishwa Tanzania kwa ajili ya exports. Kwa kila mwaka tungeuza kwa uchache tani 10,000 ya kahawa (Consumable coffee). Kahawa kg moja inauzwa USD 30 au zaidi. Kama tukipata 60% ya mauzo ya mwisho kwa 25% ya wastani wa kahawa tunayozalisha. Ina maana kwenye mzunguko wa fedha za ndani kupitia kahawa pekee kwa miaka 5 ya JPM zingekuwa zimepita TRIL 3.45;

Check sites hapa chini bei za consumable coffee kwenye soko.

Ubuy Canada Online Shopping For instant coffee nestle in Affordable Prices.

Ubuy Sweden Online Shopping For instant coffee nestle in Affordable Prices.

Amazon.com : instant coffee

Kuziba hili pengo la nini tunauza kama raw coffee vs mauzo ya mwisho ambapo tunatumia strategic competitive intelligence tool na consulting marketing firms tuongeze market share finished products za kahawa, chai, korosho, pamba badala “kulaliwa” kila siku.

Henry Ford anasema “Coming together is the beginning. Keeping together is progress. Working together is a SUCCESS” Umoja ni Nguvu na utengamano ni udhaifu’ wahenga walituasa.

Honestly, hatuwezi kujenga uchumi endelevu kama nguvu kazi ya vijana wataendelea kuwa absorbed kwenye bodaboda, kukaanga chips… These are hand to mouth kutoka kwenye 10% ya makusanyo ya halmshauri. Iko haja kujenga sustaible inclusive economy ili dira ya maendeleo ya Taifa itimilike kwa udhahiri zaidi.

Investment financing kwa kununua “technology & know-how” mrejesho wake ni mkubwa kwa fedha itakayowekezwa wakati huo huo kazi mpya kwenye mifumo rasmi zimezalishwa.

Nguvu ya vijana ikijengewa mazingira, basi ndege, SGR, bandari, Nyerere Hydropower na miradi mikuwa kama hiyo itajengwa huku tax base ikipanuka.

Tujipongeze Watanzania na hasa Hongera sana Mhe. Magufuli kwa kuweza kununua technology kufanyia operation za moyo JKCI. Kuna hela nyingi sana tumeokoa malipo ya fedha ili kupata huduma ya matibabu.

Hivyo basi, usalama wa Taifa letu pendwa Tanzania, kwenye karne ya 21, hatuna budi kuamua kwa haraka zaidi ili vijana wawe sehemu ya “jeshi” la kuzalisha ili kuongeza mauzo ya soko la nje la finished products ili tuanze kutengeneza balance of trade surplus.

Kitabu cha what is next; How to use theories using the theories of innovation to predict industry change anatupa basic principles kuhusu namna ya kujua, Signals of Change, kujua fursa ziko wapi (Opportunities), Ushindani uko wapi (Competitive Battles), namna gani ya kuwapunguza washindani (How to Size Up Competitors)na cha mwisho ni Strategic Choices.
Takwimu toka Worlb bank zaonesha, miaka ya ‘90, uchumi wa Tanzania ulikuwa USD 4.5 bil wakati Vietnam alikuwa na USD 6.5 bil. Wakati huo huo, Kenya alimzidi Vietnam GDP ya USD8.4bn.
Mwaka huu Uchumi wa Vietnam ni USD 260bil, Tanzania USD 60bil, Kenya USD 90 bil

Vietnam wananunua korosho yetu kwa wastani wa TZS4mil kwa tani kama kg moja ni TZS 4,000; wao wanauza zaidi ya TZS 50,000 kwa kg. Kama walinunua korosho ghafi tani 400,000 (tukapata 1.6 Tril). Wao waki-process wanapata

Check bei za consumables cashew products

Amazon.com : cashew

Ubuy Saudi Arabia Online Shopping For cashew in Affordable Prices.

View attachment 1440072

Mwisho niwashirikishe homework niliyokuwa nafanya na watoto wangu. Umeona tigers wangapi. 4, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12 au labda 14. Ikiwa mtu anaona 4 au 6 iko haja akashirikiana na yule anaeona 12 hadi 14 ili fursa walau zaidi ya 10 zitumike kwa tija kuliko zile 4 zilizo easily visible.

Kupanga ni kuchagua. Tuchague kwenye kuongeza exports za consumable.

Nawatakiwa Jumatano Njema.

Fred
Pamoja na mapungufu katika makala hii ila nikupe hongera umejitahidi kusema ukweli na unakijuwa vizuri ulichokiandika hongera sana
 
Screenshot_2020-05-04 Msiba wa Jasusi Agustino Mahinga umetufundisha mengi, Kuna mambo mengi y...png

Mimi nawaona tigers 17.
 
Pamoja na mapungufu katika makala hii ila nikupe hongera umejitahidi kusema ukweli na unakijuwa vizuri ulichokiandika hongera sana
Tanzanite au Diamond ni vito vya thamani. Ila huwa vinapita kwa wataalam wa kuchonga ili thamani yake iwe kubwa zaidi. Ndiyo maana India wamekuwa mabingwa wa kuuza final products za Tanzanite au Israel ni mabingwa wa kuuza Almasi.

Nashukuru kwa observation yako, nguvu yetu kwenye kujenga iwe ni ku-observe mapungufu ili kuimaisha jengo letu tunaloishi na kulipaka rangi lipendeze. Jengo letu ni Tanzania
 
Nyerere alikuwa kiongozi mbaya
Hajatokea duniani bado kiongozi ambaye hajawahi kuwa au kuonekana mbaya,hata wewe nyumbani mwako kuna wakati unafanya maamuzi wanao nao wakakuona mbaya,hufai kuwa baba yao na wakajuta wewe kuwa baba yao.

Yote kwa yote nature ya binadamu ni kukosea so udhaifu wa Nyerere kila mmoja wetu nae ana udhaifu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana mkuu kwa ujumbe mzuri kabisa.
kweli kuna haja sana hii idara kujitasmini mchango ewake katika kukuza uchumi. kuna fedha nyingi sana zimetumika kwa matumizi yasio zalisha, au uzalishaji wake ni wa muda mrefu sana ikiwepo huo mfano ulio uchukulia.
na pia fadha hizo manufaa yake pia sio kwa walio wengi kwa mfano uliouchukulia pia.
ujasusi wa uchumi ungetakiwa kuwa kipao mbele kwa kwa hii idara kuliko ujasusi wa kisiasa na matokeo yangekuwa tofauti na wakati huu.

kwa mfano pia kwa hii ishu ya corona toka ilipotangazwa uwepo wake hii idara ingefanya ujasusi na kujua kama ikija hapa kwetu ni athari kiasi gani zingetokeana kuchukua hatua.
hii ndio inaitwa adui ukimjua ni nusu ya ushindi, au mbwa ukimjua jina hakupi shida.

sina hakika ni kiasi gani athari za uchumi kitafa zitatokea baada ya hali , na niko na imani hakukuwa na maandalizi, na waliopaswa kujua nini chakufanya na nini kisifanyike ni hii idara.
 
Kumekuwa na michango mbalimbali ya vijana kushangaa ilikuaje Mwl. Nyerere alimwamini Balozi Dr. Agustine Mahiga kuwa Director wa TISS akiwa na miaka 35 tu. Ikumbukwe, kwa mujibu wa wasifu wake, unaonesha Balozi Mahiga alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo Ofisi ya Rais akiwa na miaka 32 (hiyo ni mwaka 1977). Hii inatupa taswira vijana wanaweza na inawezekana kufanya mapinduzi ya kiuchumi/kibiashara kupitia vijana.

Mjadala mwingine ulijikita pale Balozi Mahiga aliweza kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya Mwl. Nyerere 1983. Baada ya hapo ndipo aliondoka na nchini na kutokomea kwenye shughuli za kidiplomasia.

Naendelea kutoa pole kwa familia na Watanzania kwa kupoteza jembe. Balozi Mahiga kamaliza safari yake kwa kutatua changamoto za usalama, ki-diplomasi, kijamii na kisiasa.

Pengine nitoe rai kwa Diwani Athumani, boss wa sasa Idarani ni namna gani anaweza kuongoza juhudi za kimkakati ili jamii kubwa ya Kitanzania (ambao ni vijana) wasipinduliwe. Mapinduzi ya kimkakati toka magharibi ni kuwafanya vijana kuwa busy kwenye vitu ambavyo ukipima huoni uzalishaji unaojenga biashara na uchumi endelevu kupitia shughuli wanazofanya.

Tanzania tuna nguvu kazi ya vijana wanamaliza elimu ya msingi, sekondari na vyuo; iko haja kuchukua hatua madhubuti kutumia akili na nguvu zao ili kujenga platform wazalishe na kukuza uchumi kwa biashara. Kuliko kutumia fedha nyingi kwenye udhibiti wa uhalifu usifanywe na watu ambao wangekuwa busy, basi kiwango cha uhalifu, usaliti na “kutumiwa” kingepungua.

Director Diwani Athumani una kazi kubwa kulifanya hili litokee kwa ku-set strategic investment models ili tufike nchi ya “maziwa na asali” kwa muda mfupi zaidi.

Howard Gardner mtafiti wa mifumo mbalimbali ya uwezo wa akili (intelligence); anasema, moja ya aspect ya kufika mbali kwenye nchi au organization ni kutumia intuition, imagination, interdependencies na ubinadamu. Mambo haya, yanakuwa msingi wa kila kinachofanyika kwenye nchi, taasisi za umma na binafsi zilenge kutatua matatizo ya wanadamu wengine.

Tukinukuu tafsiri ya Howard Gardner, inasema “Intelligence is the ability to solve problems, or to create products, that are valued within one or more cultural settings.”

Katika Makala hii sitajikita katika ukachero ambao wengi huwa recruited kwa merits za recruitment ni familia zao ni wasiri sana, au wana historia fulani. Hao nao wana sehemu yao ila kuna haja ya “kupanua goli”. Kumbe tunaweza kuwa na intelligence recruits kwenye eneo la creativity & innovation ili kujenga mkakatu wa kitaifa kwenye biashara na uchumi. Muktadha wetu Tanzania ni fikra za namna gani ya kutumia competitive advantage kwenye mauzo ya madini, gesi, mauzo ya agro-products, mauzo ya products za utalii kwa soko la nchi 8 zilizotuzunguka na ughaibuni pia. 1993 Rais wa USA, Bill Clinton moja ya mkakati wake ulikuwa usalama wa uchumi kwa kuifanya Marekani ipate kodi kupitia ongozeko la shughuli za biashara na uchumi.

Baada ya Covid19; DNA ya creativity & innovation haikwepeki ili usalama wa uchumi wetu, u-boost usalama wa taifa. Esau alipofanya shughuli zake za mawindo na kukosa chakula, ali-negotiate ya mdogo wake na kuuza uzaliwa wa kwanza akiwa na njaa. Wakati huu wa “utandawazi”, inaweza kuwa rahisi sana baadhi ya vijana “kutumika” kwa kuwa wana “njaa”

Role ya Public Sector ni kujenga mazingira wezeshi ili private sector iweze ku-bloom. Inahitaji jicho la ku-scout "new brains" ambazo zipo, kuleta mapinduzi ya uchumi na biashara ili tax base iwe kubwa kwa serikali ili Tanzania izidi kuchanua.

Tuangalie project models za nini tulifaya Tanzania, nini wenzetu walifanya nchi zingine na matokeo yake yalikuaje baada ya muda

Hii ni taarifa ya toka gazeti la ndani ikinukuu miradi yenye thamani ya 2TRIL.

Pension funds spend Sh2tr on investments in one year

Chanzo kingine kinaonesh ghorofa PSPF Golden Jubelee Tower ilijengwa kwa USD 70 million (sawa na TZS 112bn kwa exchange rate ya 2012. Yaweza kuwa TZS 161 bn kwa exchange rate sasa)

Nimeweka hii mifano kuonesha baadhi sources za hela ziko wapi, licha ya uwezekano wa kupata mikopo toka vyanzo vingine vya ndani na nje ikiwamo dhamani ya serikali kupitia BOT.

Zile USD 70 mil za kujenga ghorofa. Je tunaweza kupata dhamana ya serikali ili tungeziweka kwenye Public Private partnership tukitumia kwa kuwekeza kwenye kuchakata walau 25% ya kahawa ghafi inayozalishwa Tanzania kwa ajili ya exports. Kwa kila mwaka tungeuza kwa uchache tani 10,000 ya kahawa (Consumable coffee). Kahawa kg moja inauzwa USD 30 au zaidi. Kama tukipata 60% ya mauzo ya mwisho kwa 25% ya wastani wa kahawa tunayozalisha. Ina maana kwenye mzunguko wa fedha za ndani kupitia kahawa pekee kwa miaka 5 ya JPM zingekuwa zimepita TRIL 3.45;

Check sites hapa chini bei za consumable coffee kwenye soko.

Ubuy Canada Online Shopping For instant coffee nestle in Affordable Prices.

Ubuy Sweden Online Shopping For instant coffee nestle in Affordable Prices.

Amazon.com : instant coffee

Kuziba hili pengo la nini tunauza kama raw coffee vs mauzo ya mwisho ambapo tunatumia strategic competitive intelligence tool na consulting marketing firms tuongeze market share finished products za kahawa, chai, korosho, pamba badala “kulaliwa” kila siku.

Henry Ford anasema “Coming together is the beginning. Keeping together is progress. Working together is a SUCCESS” Umoja ni Nguvu na utengamano ni udhaifu’ wahenga walituasa.

Honestly, hatuwezi kujenga uchumi endelevu kama nguvu kazi ya vijana wataendelea kuwa absorbed kwenye bodaboda, kukaanga chips… These are hand to mouth kutoka kwenye 10% ya makusanyo ya halmshauri. Iko haja kujenga sustaible inclusive economy ili dira ya maendeleo ya Taifa itimilike kwa udhahiri zaidi.

Investment financing kwa kununua “technology & know-how” mrejesho wake ni mkubwa kwa fedha itakayowekezwa wakati huo huo kazi mpya kwenye mifumo rasmi zimezalishwa.

Nguvu ya vijana ikijengewa mazingira, basi ndege, SGR, bandari, Nyerere Hydropower na miradi mikuwa kama hiyo itajengwa huku tax base ikipanuka.

Tujipongeze Watanzania na hasa Hongera sana Mhe. Magufuli kwa kuweza kununua technology kufanyia operation za moyo JKCI. Kuna hela nyingi sana tumeokoa malipo ya fedha ili kupata huduma ya matibabu.

Hivyo basi, usalama wa Taifa letu pendwa Tanzania, kwenye karne ya 21, hatuna budi kuamua kwa haraka zaidi ili vijana wawe sehemu ya “jeshi” la kuzalisha ili kuongeza mauzo ya soko la nje la finished products ili tuanze kutengeneza balance of trade surplus.

Kitabu cha what is next; How to use theories using the theories of innovation to predict industry change anatupa basic principles kuhusu namna ya kujua, Signals of Change, kujua fursa ziko wapi (Opportunities), Ushindani uko wapi (Competitive Battles), namna gani ya kuwapunguza washindani (How to Size Up Competitors)na cha mwisho ni Strategic Choices.
Takwimu toka Worlb bank zaonesha, miaka ya ‘90, uchumi wa Tanzania ulikuwa USD 4.5 bil wakati Vietnam alikuwa na USD 6.5 bil. Wakati huo huo, Kenya alimzidi Vietnam GDP ya USD8.4bn.
Mwaka huu Uchumi wa Vietnam ni USD 260bil, Tanzania USD 60bil, Kenya USD 90 bil

Vietnam wananunua korosho yetu kwa wastani wa TZS4mil kwa tani kama kg moja ni TZS 4,000; wao wanauza zaidi ya TZS 50,000 kwa kg. Kama walinunua korosho ghafi tani 400,000 (tukapata 1.6 Tril). Wao waki-process wanapata

Check bei za consumables cashew products

Amazon.com : cashew

Ubuy Saudi Arabia Online Shopping For cashew in Affordable Prices.

View attachment 1440072

Mwisho niwashirikishe homework niliyokuwa nafanya na watoto wangu. Umeona tigers wangapi. 4, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12 au labda 14. Ikiwa mtu anaona 4 au 6 iko haja akashirikiana na yule anaeona 12 hadi 14 ili fursa walau zaidi ya 10 zitumike kwa tija kuliko zile 4 zilizo easily visible.

Kupanga ni kuchagua. Tuchague kwenye kuongeza exports za consumable.

Nawatakiwa Jumatano Njema.

Fred
Who cares...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jambo jema litakalofanyika hapa Tanzania under Magufuli.

LaZima nchi isubiri huyu Rais aondoke madarakani ndio itawezekana kulisimamisha taifa tena.

Economy is dead. No jobs no vision no plan.

Zidumu fikra potofu za Mwenyekiti ndio iliyopo.
And we are not going anywhere.
Diwani ana kazi yabkupambana Na chadema na kuhakikisha kura zinaibiwa na kupoteza wanaompinga Rais mitandaoni.

Sidhani kama an jambo lingine.

Na hao/ hio taasisi nzima ya TISS ni trash.
How they ended up allowing Magufuli to become President.
Its a Shame.
 
Kuna mambo unamuonea Mkurugenzi kumrundikia kila kitu.Ni.kwamba private sector wetu hawana vitengo vya TISS vya Kwao mfano wajapan private sector baada ya Vita kuu ya pili ya dunia walipigika wakawa so frustrated private sector ikajipanga kwenda kuiba teknologia Marekani wakatuma madoctor na maprofesa viwandani Marekani kuomba kazi za kufagia,kudeki nk wamarekani wakapna wajapani Ni cheap labour wakawaajiri viwanda I kibao kumbe walipelekewa walikuwa mainjinia nk Tena wenye akili nyingi wakaiba teknolojia wakarudi kwao kuanzisha Vita ya viwanda

Walibadili sera kuwa Sasa watapigana Vita ya dunia ya kibiashara na viwanda na waliweza

China imeendelea kwa wizi wa teknolojia Hadi Leo .Walianza kuiba teknolojia Urusi baadaye wamefanya Kama kitu official wanaishi kwa kuiba teknolojia na kumodify kidogo tu kuepuka mikesi .Wanaishi kwa wizi

Vijana wetu wanaenda Soma kila Kona ya dunia lakini hawaibi teknolojia wanaturudia na kingereza tu kilichonyooka!!!

Private sector ichangamke iajiri vijana bright iwape assignment
 
Tanzanite au Diamond ni vito vya thamani. Ila huwa vinapita kwa wataalam wa kuchonga ili thamani yake iwe kubwa zaidi. Ndiyo maana India wamekuwa mabingwa wa kuuza final products za Tanzanite au Israel ni mabingwa wa kuuza Almasi.

Nashukuru kwa observation yako, nguvu yetu kwenye kujenga iwe ni ku-observe mapungufu ili kuimaisha jengo letu tunaloishi na kulipaka rangi lipendeze. Jengo letu ni Tanzania
India private sector wana vitengo vyao vya ujasusi wa kibiashara mfano walipojua Tanzania Kuna Tanzanite kupitia dawati la la ujassusi la sekta binafsi wakaanza ku train watu Kwanza wa kutengeneza Vito vya Tanzanite kwenye vyuo.vyao vya VETA walipojua wakawapa mitaji wakafungua vibanda vya kuchonga Vito vya Tanzanite kwenye mji wa Jaipur India.Wafanyabiashara wahindi wakawa wanakuja Tanzania Arusha wananua Tanzanite wanazipeleka Jaipur India zinatengenezwa vito wanaenda kuuza soko kubwa la Vito marekani na ufaransa

Mji wa Jaipur India una watengeneza Vito vya Tanzanite zaidi ya elfu 30 ndio.maana Tanzania tulizuia kusema kuwa hatutauza Tanzanite ghafi wahindi wakaja juu wakagoma kununua mazao yetu Kama korosho,dengu nk sababu waliiona watu wao hao elfu 30 watawapeleka wapi na biashara yao ya nje itawadodea Sana .Walifanya kulipa kisasi sababu wao ndio walikuwa wanunuzi wakubwa

Mambo ya kiuchumi.yana makorokoro mengi TISS peke yake hawayawezi Private sector INA kazi kubwa kuliko TISS wanatakiwa vyuo vyetu viconcentrate sana kujenga uwezo kwenye private sekta hasa
 
Back
Top Bottom