Nilikumisi mtambuzi ijumaa nilikutafuta kupitia makala za kesi kama ufanyavyo kila ijumaa but nilikukosa ila nimefurahi umerudi. Jamaa nadhani alitaman ardhi ipasuke kuficha hiyo fedheha ya kuumbuliwa kijijini
Ni bahati sana kukutana na member kama mtambuzi.
Namshukuru mungu kwa kupata bahati hiyo ya kumuona mtambuzi somewhere... Maana anachangamsha sana jukwaa kwa mafundisho yake,
Na siku nikikufamania tena pale pale nilipokukuta inabid unipige lecture ya nguvu ya kuhusu visa vyako
Nilikustukia maana ulikuwa unaongea ki-JF - JF hivi...LOL
hapa lazima akukane hata km ni kweliKijiwe gani unapatikana........Manzese uwanja wa fisi ama Kwa mtogole?
Yaani katika watu waJF ambao naweza kutoa chochote ili niwaone ni wewe, yaani huwa nashindwa kukuimagine. Hauna nafasi ya muhudumu kwenye Mtambuzi pub?
Vimini ndio nguo nizipendazo, hivyo usihofu kuhusu qualification. LOL