Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,513
- 113,644
Wana bodi, kama kawaida yetu sisi Watanzania hushirikiana kwenye shida na raha, kuna binti Mtanzania kwa jina la Eva Gembe, aliyekuwa amelazwa ICU hospitali moja mjini Toronto nchini Canada akisumbuliwa na Brain Tumor, amefariki dunia.
Up-date 1.
Kwa Toronto, msiba uko kwa Dada wa Marehemu, Juliet Gembe, alikuwa mwanahabari Channel Ten kabla hajaelekea Toronto. Mopango ya kuurudisha mwili nyumbani kwa mazishi inafanywa na Watanzania walioko Toronto, ikiratibiwa kwa karibu na Jamii ya WaTZ wa hapo Toronto.
Kwa Dar es Salaam, msiba uko nyumbani kwao, kwa Mzee Gembe, lile ghorofa pale Upanga, baada ya Califonia Dreamer.
Kazi kubwa kwa sasa ni resources mobilization mwili wa Dada yetu tuurejeshe nyumbani.
Update -2
MSIBA TORONTO, CANADA
Poleni wafiwa wote,
RIP Eva Gembe.

Marehemu Evaline Gembe
Familia ya Bwana na Bibi Gembe wa Upanga-Dar-es-salaam na Tabora, wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Evaline Gembe(pichani) kilichotokea hapo juzi tarehe 30.3.2010 huko Toronto,Canada. Evelyne amefikwa na mauti katika hospitali ya St.Michaels ya Toronto alipokuwa amelazwa.
Taratibu na mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa mazishi zinafanyika nyumbani kwa dada yake, Julie huko huko Toronto,Canada.
Ukiwa kama mtanzania,ndugu,jamaa au rafiki, unaombwa kuchangia fedha,hali na mali kwa ajili ya kuwezesha kuusafirisha mwili wa marehemu kurudi nyumbani kwa mazishi mapema kadri iwezekanavyo kwani kama wengi wenu mnavyofahamu, mwili unavyozidi kukaa Funeral-Home,gharama ndivyo zinavyozidi kuongezeka. Mwili utasafirishwa punde tu zitakapopatikana fedha za kutosha kwa ajili ya kulipia gharama husika.
Unaweza kutuma mchango wako kwenye Account maalumu ya wafiwa kama ifuatavyo:
BANK : CIBC (Canadian Imperial Bank of Commerce)
ACCOUNT NUMBER: 5681839
TRANSIT NUMBER: 00902
INSTITUTE NUMBER: 010
SWIFT CODE: CIBCCATT
Vilevile unaweza kutumia E-mail Money Transfer kwa Sania Esmail.Anuani yake ni saniae@yahoo. ca au kuwakilisha msaada wako kwa kutumia anuani hii:
1025 SCARLETT ROAD,
APT 606, BUZZ # 178
TORONTO ON, M9P 3V3.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao:
Julie +1 416-247-8318
Esmail Manambi- +1 647- 299-2572
Victor Wambura- +1 647-428-4118
Prosper Luteganya- +1 905 626 3764
Tafadhali chukua muda kuwafariji na kuwaombea ndugu,jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huu. Tunatanguliza shukrani kwa misaada yote iliyotolewa na itakayotolewa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi - Amen.
Source. Michuzi