Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,148
Hellowa african
Oy najua wewe kidogo una kaelimu kidogo pia ata kazi yako unayofanya hapo hospital najua unaweza nisaidia namna moja au nyingine nilikutana na demu mmoja sasa sikujua kama ana fangasi mdomoni mwake
Tulipeana denda sasa sikuja kugundua baada ya siku mbili nimekuja kugundua nikapata kuwashwa midomo na lips kuwa nyeusi kumbe fangasi nimeenda hospital nikapewa dawa za fangasi lakini zimedunda nimechomwa na sindano wapi ulimi na meno ipo sawa shida ni lips nifanyeje kaka
Msaidieni atasoma hapa comment zenu