Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,060
- 23,941
Nani kakwambia zinatumika ktk teuzi; uteuzi ufanyanyikao no kutokana na elimu na weledi wa mtu. Muwe mnachuja na anavyowamezesha ponda
Wanabodi.
Tanzania ni nchi yetu sote Waislam, Wakiristo, na wasiokuwa na dini tunamshukuru Mungu kwa kutupa moyo wa subira kuishi kwa upendo na kuvumiliana na kuheshimiana watu wa dini zote na wasiokuwa na dini kuna kitu kinaitwa (Coexistence) ambacho watanzania tunacho tumepewa na Mungu.
Hizi takwimu ambazo zipo kwenye idara za serikali na katika taasisi za dini zimetolewa kwa faida ya nani kisiasa, kidini, kibiashara, kimaendeleo, hau faida zake zipi takwimu zenyewe ni hizi hapa...
Ofisi ya Waziri Mkuu inaonesha Wakiristo ni 45% - Waislam ni 35%. TBC1 wametangaza Wakiristo ni 52% - Waislam ni 32%. Bodi ya Utalii inaonesha Wakiristo ni 45% - Waislam ni 40%. Tovuti ya Wakatoliki (www.rc.net) inaonyesha Tanzania kuna Wakiristo ni 44% - Waislam ni 34%.
Takwimu hizi zimekuwa zikitumiwa katika uteuzi na maamuzi na serikali.