Mshahara wa Polisi

Wanapewa mshara mdogo sana hawa watu sema ndo hvyo sirikali yenu haiwajali ingawa wanafanya kazi nzito sana nahisi haizidi jiwe na nusu kama mdau alivyosema
 
Hivi naomba ufafanuzi kidogo, hivi hayo matusi yote ni sehemu ya mshara wa polisi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom