Mshahara wa Police ngazi ya degree

ni around 380,000 hadi 450,000[/QUOT

Hapana sio ivo ni 743,000 basic pay, net pay inaenda hadi kilo 6 na ushee inategemea uko kwenye mfuko gani wa hifadhi ya jamii, na kuna posho ya katikati ya mwez 180,000, alafu bado ukikaa kaa utapata allowance 3. Msidanganye Watu, na hapo bado huna hata nyota moja, kwenda kwenye nyota utakaa miaka 2 had 3 inategemea, soo ndo ivoo mkuu
 
Jamani wandugu kuna mtu anayejua kwa wastani mshahara wa Police ngazi ya degree holder ni sh ngapi?

By the way ww kwa sasa haitakusaidia caz wanachukua kwa mwaka wa masomo, kama ww ulimaliza mwaka ulopita ndio baaas,labda iwasaidie wanaotaka kujiunga, miaka ijayo sababu watu wako depo now.
 
ni around 380,000 hadi 450,000[/QUOT

Hapana sio ivo ni 743,000 basic pay, net pay inaenda hadi kilo 6 na ushee inategemea uko kwenye mfuko gani wa hifadhi ya jamii, na kuna posho ya katikati ya mwez 180,000, alafu bado ukikaa kaa utapata allowance 3. Msidanganye Watu

Point of correction kidogo mkuu..kama gross ni 743,000 net lazma iangukie around 580,000...ila laki 6 sio sawa
 
Back
Top Bottom