Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?

Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara?

Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote

Ps:
Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio mwanamke anaomba ushauri NI mwanamke!
unampenda yeye au pesa zake?

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na standards zake bwana tusipangiane standards so nadhani huyo jamaa sio hadhi ya huyo binti hivyo ushauri wangu atafute mwanamke atakaeishi kwenye budget ya laki mbili kwa mwezi🤣. Huyo binti asiwaze sana unaweza kunisogezea kwangu hapa, atakula bata mpaka kuku ataona wivu basi fanya hivyo tafadhari mpe shoga yako maisha mazuri kupitia mimi huko atapauka sana na huu msimu wa kipupwe asipoangalia miguu itachanika kwa kuzurura kwa miguu.
 
Kweli wewe NI mwiba
 
Mapenzi siyo pesa ila ikikosa yanapungua.Aisee laki mbili ni ndogo sana ,Mwanamke anamatumzi yake binafsi ambayo ni vizuri kumpa miamala.afanye hata bila kukwambia.Mimi napenda sana kutuma hela nikipata kwa lvd bila kuombwa but kwa mpangilio maalumu na akihitaji pesa anambie 2 weeks before.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Uweee, at least kuna mwamba hapa amejibu swali
 
Subira yavuta heri.
Ukimuacha mwanaume kisa Hana pesa umempa baraka
Not necessarily all the time bra!
Not all the time
Utakachomwachia NI hasira ya kutafuta hela ili akutese nazo wewe uliemkimbia lakini hizo pesa za kuteseka watu Mungu hatoi labda Mganga🏃🏃🏃
 
Uweee, at least kuna mwamba hapa amejibu swali
Lakini sidhani kama huyo kaka anategemea huo mshahara peke yake ,halafu pia wanawake wana standard lazima udate na mtu ambaye unaona kabisa mnaendana hata kimatumizi mfano mewahi kudate na mdada maisha alozoea vocha akihitaji unatakiwa umtumie atleast 10000.Sio kwamba shangingi au Malaya hapana ni standard yake hatu kukaa sana make niliona sina uwezo wa kuendana na Maisha yake,kila mwanamke ana standard yake halafu siku hizi unconditonal love ,kupendwa bure bure imebaki kwa Mama .Lakini mimi sipendagi vizinga kabisa licha ya kujiongeza kutuma miamala ya suprise nikipata hela ,mwanamke akihitaji pesa sipendi anishtukize mfano Naomba hela ya kusuka ,Niboost elfu thelathini kuna mzgo nkachuke hapana ,Unatakiwa unambie mapema eg This month tarehe 20 naomba unisaidie kunifanikishia 70k.ninahitaji kufanya moja mbili tatu hivyo.

All in all usione utamu wa ndizi,Mgomba unahitaji Malezi.Hakuna namna unaweza kukwepa kumhudumia Msichana inaleta heshima ,kumbuka sisi tumeumbiwa kupenda na wanawake hawajaumbiwa kupenda bali kutii ,na kupenda maana yake ni kutoa eg kwa maana aliupenda ulimwengu hadi akamtoa mwanae wa pekee....kwa hyo Unatakiwa utoee na kupitia kutoaa mwanamke atakutii.Amen

Wenzio Wana confuse standard na kuuita umalaya au kudanga
 
Kuna wengine mpaka kesho tunawasaidia nauli
Hapo vepe?!
Nyota njema huonekana Asubuhi
Shida sio kuzipata, shida NI maisha baada ya kuzipata
Kudate na mwanaume ambaye kila kitu hana na uzae nae karne hii ngumu ujue,hela ya vocha huna ,kusuka huna ,out huna ,mchezo huna halafu demu wako anamiliki iphone ,anasuka nutres ,anavaa nguo za maana nk.na hautoi hata mia hafu unakuta una wivu kinyamaaaa na sound kibaooo!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kudate na mwanaume ambaye kila kitu hana na uzae nae karne hii ngumu ujue,hela ya vocha huna ,kusuka huna ,out huna ,mchezo huna halafu demu wako anamiliki iphone ,anasuka nutres ,anavaa nguo za maana nk.na hautoi hata mia hafu unakuta una wivu kinyamaaaa na sound kibaooo!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ila wanaume, atakaewasaidia NI Mungu na mama yenu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom