Mshahara WA IT BANK

Sidhani kama matumbo yao yanajaza kilo mbili kwa mlo mmoja mkuu!

Ila kwenye mshahara watakuwa wanapokea kiasi ambacho hutapata jibu kamili hapa!

By the way.....Nenda Crdb, mtafute mshkaji mfanyakazi wa pale, omba namba akitoka kazini mcheki..Muulize swali lako kiutu uzima

Naomba kuwasilisha mheshimiwa spika!
 
Ina depend ana muda gani hapo toka aajiriwe wapo wanaokula hadi 3m per month, mshikaj wangu anakula 1m hapo crdb hta mwaka hana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom