Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,196
- 12,379
Una ushahidi kuwa alitekwa na HAMAS?Msemaji wa Hamas aliweka wazi mauaji ya raia wa nchi zingine waliowateka ni Salam kwao kwamba kumpeleka raia wao Israel ni hatari. Na wao wapo vitani na Kila mshirika wa Israel.
Sasa kama walimteka na amafariki wakiwa nae, unataka Israel waseme Wana mwili wake?
Kumbuka kama alikua ameenda Israel Kwa kufuata taratibu zote, serikali yetu itataka kujua Nini kimejiri na mwili wake uko wapi. Lazima Israel watolee ufafanuzi.
Wewe unachopinga ni kipi, kwamba hajatekwa na Hamas, hajauwawa na Hamas au mwili wake haupo mikononi mwa Hamas?