Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Soma tena mkuu hilo bandiko hapo juu naona hujaelewa vzuri
bandiko limekaa kitoto sana , majuz mtoa post alikuwa anachangia kwenye mada ya muislam mwenzie kuwa hamas walikuwa wanashikiria maiti za waisrael na walitaka kubadilishan kwa wafungwa wa kipalestina , leo ndo.mmejuwa Gaza hakuna umeme ?
 
alitumikaje sasa hapo, hizo picha ni za watu wawili tofauti, labda kama uan mamcho ya kigaidi. huyo polisi ni Myahudi raia wa Israel mwenye asili ya ethiopia. Israel kuna wayahudi weusi kama 160,000 raia wapo serikalini na jeshini. sasa watoto wa mood mnakuja hapa ili kuwasafisha hamas, mnasema hiyo picha ya joshua ndio huyo huyo askari. akili zenu za kipumbavu sana hata sijawahi kuona. no wonder Israel anawapiga sana siku zote. angalia hapa afu sema kama huyu ni mtu mmoja.View attachment 2848942View attachment 2848943

Hivi unanielewa lakini?

Nionyeshe picha au clip inayo onyesha mollel ameuawa na hamas!
 
Hivi unanielewa lakini?

Nionyeshe picha au clip inayo onyesha mollel ameuawa na hamas!

View: https://twitter.com/i/status/1736521697505824796
GBjhTcFXEAArTVW.png
 
We huwafahamu wayahudi, kwenye jeshi la Israel kuna askari wengi tu hadi marubani wana mafunzo ya kuongea kiarabu vizuri, acha kuongea vizuri, wanazungumza kwa lafudhi ya nchi husika, wanaweza ongea kiarabu chenye lafudhi ya Saudia, Syria, Palestine n.k, kwenye jeshi la Israel kuna askari wengi tu ambao ni arabs jews, kwenye operation yao kwenda kupiga kinu cha nuclear Iraq.
marubani wa Israeli walizungumza kwa Kiarabu chenye lafudhi ya Saudia wakiwa katika anga ya Jordan na kuwaambia Jordan kuwa walikuwa doria ya Saudia ambayo ilikuwa imepotea njia.

Walipokuwa wakiruka juu ya Saudi Arabia, walijifanya kuwa Wajordani, wakitumia ishara na mifumo ya redio za Jordan.


Lakini niachie hapo ukweli utafahamika.
nakusamehe kwasababu najua huelewi kitu. kwa kifupi wewe ni mbumbumbu.
 
Hamas hawezi kuuwa foreign hili iweje Magaidi wa Israel wamemua wenyewe wameona ngoja watengeneze cinema kuwachafua Hamas.

Wale mateka wao watatu walishasema wameokota miili yao kumbe Hamas walikuwa wanawarekodi. Waliwambia hapa tupo kwenye mapambano mnaweza kufa cha kufanya hapa tunawaachia mjisalimishe shikeni vitambaa vyeupe nyanyueni mikono njoo haya nendeni hawakufika mbali walichezea riaasi za kutosha mmoja akawa analia huku anaongea kiHebrew majuzi tena wameuwa wanawake wawili Kanisa alikuwa anachungulia dirisha kulizwa wanasema walikuwa wafuasi wa Hamas.

Mtajua ukweli muda si mrefu Hamas kama watakuwa na huo mwili wa Joshua tatizo watu wanajifanya wana uchungu kumbe unafiki wakijua kama kauliwa na Israel hamna hata mmoja atanyanyua mdomo wake humu nawajua vizuri Waisrael weusi wa JF.
Stupid.
 

tumia akili wewe mtoto wa papa francis uliobarikiwa na kupata baraka ukawa mbarikiwa hao ni waizrael toa picha kamili ama zoom hiyohiyo uone vizuri m.barikiwa
pole, shida nafikiri ni uwezo wa akili.nitakusaidia kukuwekea video.
 
Msemaji wa Hamas aliweka wazi mauaji ya raia wa nchi zingine waliowateka ni Salam kwao kwamba kumpeleka raia wao Israel ni hatari. Na wao wapo vitani na Kila mshirika wa Israel.

Sasa kama walimteka na amafariki wakiwa nae, unataka Israel waseme Wana mwili wake?

Kumbuka kama alikua ameenda Israel Kwa kufuata taratibu zote, serikali yetu itataka kujua Nini kimejiri na mwili wake uko wapi. Lazima Israel watolee ufafanuzi.

Wewe unachopinga ni kipi, kwamba hajatekwa na Hamas, hajauwawa na Hamas au mwili wake haupo mikononi mwa Hamas?
Hata mimi namshangaa mleta mada analenga nini! Hamas wanashikilia miili ya watu wa mataifa mbalimbali
 
Hata mimi namshangaa mleta mada analenga nini! Hamas wanashikilia miili ya watu wa mataifa mbalimbali
Hamas wametangaza jana mateka wa 5 kuna uwezekano wamekufa kutokana na shambulio kutoka majeshi ya israeli huko Gaza .Hamas wanashikilia watu walio hai au waliofariki wakiwa mateka na taarifa ya mateka waliofariki hutolewa .Hamas hawajaenda Israeli kuteka maiti ya joshua na kupeleka Gaza mbona rahisi tu kipi ambacho hamuelewi?
 
View attachment 2850960

pole, shida nafikiri ni uwezo wa akili.nitakusaidia kukuwekea video.
hata kama macho huna basi akili piahuoni hao ni waizraeli hata sura zao au ni mahaba yamezidi ama hiyo lugha wanayoobgea yahudi anakijua vizuri sana maana wapo pamoja miaka nenda rudi wewe unakifahamu kiingereza upo tz hata uingereza hujafika ijekuwa wao muda wote wapo hapo mahaba bhana unatabu sana m.barikiwa
 
kwahiyo mmebadilike tena, joshua sio yule askari, ila aliuawa na wayahudi wenyewe? akili zenu mmetupa wapi ninyi? mbona mnakuwa mzigo sana kwa taifa hili?
Unajua maana ya "Black lives matter "? Unajua kwanini huyo social media influencer wa israeli Hananya Naftali ameiweka kwenye hiyo post ya Joshua?
 
Nina maswali machache sana ya kuuliza kwasasa.

1. Hamas waliwazaje kuuteka mwili wa mtu ambaye tayari wameshamuua ndani ya israeli na kumpeleka Gaza huyu mtu ana umuhimu gani sana kwenye hii vita? Tuzingatie waliuliwa 1400 siku hiyo
Israel ndiyo walimuua Joshua, wakawapa mwili Hamas wawashikie mara moja wafunge kamba za viatu. Hamas wakakubali kuwashikia kiungwana tu. Israel wakajifanya wanafunga kamba za viatu wakakimbia jumla na kjwaachia Hamas msala.
 
Haya mambo yanafikirisha, mkiona mpaka mzazi wa marehemu kaamua kwenda kupambania mwenyewe kuhusiana na kifo cha mwanaye huku serikali iliyoapa kulinda raia wake ikikaa kimya kama vile hamna kilichotokea au ni kuku kapoteza maisha basi mjue kuna shida kubwa sana kwenye utawala wa hii nchi
Halafu wametangaza kupeleka manesi Saudi ngoja watendwe na waarabu
 
Israel ndiyo walimuua Joshua, wakawapa mwili Hamas wawashikie mara moja wafunge kamba za viatu. Hamas wakakubali kuwashikia kiungwana tu. Israel wakajifanya wanafunga kamba za viatu wakakimbia jumla na kjwaachia Hamas msala.
Vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi? 🤣
 
Unajua maana ya "Black lives matter "? Unajua kwanini huyo social media influencer wa israeli Hananya Naftali ameiweka kwenye hiyo post ya Joshua?
wewe ni mjinga, huyo hanaya ni mmoja tu, hii video ilikuwa shared na IDF hata kabla nchi yako ya bongo lala haijatoa taarifa. cha kushukuru Mungu, Israel ameifuta gaza na anataka kujenga mji mpya pale pasiwepo na mpalestina milele.
 
Back
Top Bottom