Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi kinachojengwa Tazara ni Flyover au tumepigwa?

Imebidi niulize ili na mimi nitoe Tongotongo la Kitanzania , mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa na nimebahatika kusafiri kwenye nchi kadhaa za Kiafrica , Ulaya na America , nazifahamu BARABARA ZA JUU ( FLYOVER ) , kwa kadri ya ufahamu wangu hazifanani na kinachojengwa Tazara .

Naomba anayelijua jina la kivuko kinachojengwa Tazara anisaidie .

Naomba kuwasilisha .
WANAJENGA MADARAJA YA KWENYE MAKUTANO YA BARABARA ILA KWA SABABU WATZ NI VILAZA WANAAMBIWA FLYOVER NA WANACHEKELEA!
NDIO UZURU WA KUWA MTANZANIA (UJINGA)
 
Imebidi niulize ili na mimi nitoe Tongotongo la Kitanzania , mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa na nimebahatika kusafiri kwenye nchi kadhaa za Kiafrica , Ulaya na America , nazifahamu BARABARA ZA JUU ( FLYOVER ) , kwa kadri ya ufahamu wangu hazifanani na kinachojengwa Tazara .

Naomba anayelijua jina la kivuko kinachojengwa Tazara anisaidie .

Naomba kuwasilisha .

Kwa hiyo hili nalo ni la kujadili? Angalau hata ungeleta Mada ya kujadili gharama, uhitaji, umuhimu labda ungekuwa na hoja sasa kutaka watu wajadili majina inaonekana umeishiwa, unataka kukosoa lkn unakosa pa kukosoa unabakia kuandika mambo yasiyo na maana!
 
Imebidi niulize ili na mimi nitoe Tongotongo la Kitanzania , mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa na nimebahatika kusafiri kwenye nchi kadhaa za Kiafrica , Ulaya na America , nazifahamu BARABARA ZA JUU ( FLYOVER ) , kwa kadri ya ufahamu wangu hazifanani na kinachojengwa Tazara .

Naomba anayelijua jina la kivuko kinachojengwa Tazara anisaidie .

Naomba kuwasilisha .
Ndio maana Ndege uliyopanda kwenda nayo Ulaya ni tofauti na zile unazopanda ukiwa Tanzania..!

Hizi ni FlyOver katika kiwango cha Tanzania, sio kama hizo unazozijua wewe katika nchi za wengine..
 
Maana ya neno flyover.

804a2bb320c1cfd10df23b6d3e5fcb40.jpg

Tazara patakavyokuwa

6782f44bf7ff05ecbb9649d1fa2b8ac5.jpg

Swali lingine?
Unafikiri hawajui? Leo kaamka kakosa cha kupinga ndio kakurupuka na hili.
 
CDM nyie mnaakili za kindezi kabisaa kila kitu nyie ni kibaya kwenu, reli inayojengwa mseme ni mbaya, flyover mseme, miradi mbalimbali muiseme sijui mpoje aiseee..
Ikulu mtaisikia bombani tu tunataka maendeleo sio kelele za hovyo kutoka kwenu.

Am out
WE NDIO HOPELESS KABISA
MTU AKITAKA KUJUA KUNA UBAYA GANI??
 
Imebidi niulize ili na mimi nitoe Tongotongo la Kitanzania , mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa na nimebahatika kusafiri kwenye nchi kadhaa za Kiafrica , Ulaya na America , nazifahamu BARABARA ZA JUU ( FLYOVER ) , kwa kadri ya ufahamu wangu hazifanani na kinachojengwa Tazara .

Naomba anayelijua jina la kivuko kinachojengwa Tazara anisaidie .

Naomba kuwasilisha .
ILI KUKUSAIDIA; NAOMBA KWA UZOEFU WAKO WA KIMATAIFA UTUPATIE KWANZA MAANA YA FLYING OVER KWANZA KWANI INAONEKANA HUFAHAM!.
 
Huyo kaisha sema ni anyabiashara wa kimataifa najua anapitia kipindi kigumu tulia inchi iko kwenye matengenezo najua nawe ulinufaika na wale jamaa wenye vigali vyao ukibeba mzigo au wakikutolea mzigo bandalini hata askari wa msimbazi hawaulizi risiti
 
Ile ni fly over. Barabara moja inapita juu ile ya ubungo ni intechange kuna barabara zaid ya tatu juu
labda niongeze swali lingine kwenye flyover kuna traffic lights??????? maana tazara kuna barabara zitakuwa na taa za kuongoza magari
 
Zipo flyover,interchange, roundabouts zenye traffic lights.
 
CDM nyie mnaakili za kindezi kabisaa kila kitu nyie ni kibaya kwenu, reli inayojengwa mseme ni mbaya, flyover mseme, miradi mbalimbali muiseme sijui mpoje aiseee..
Ikulu mtaisikia bombani tu tunataka maendeleo sio kelele za hovyo kutoka kwenu.

Am out
hasira za nini sasa si ujibu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom