Makamu wa mwenyekiti wa CCM Taifa komredi Msekwa amesema Rais JK amesononeshwa sana na kilichotokea Arusha na amesema Kamati kuu kujadili suala hilo. Wakati huo huo Makamba ambaye ni katibu mkuu wa CCM amesema hakuna mazungumzo na CDM. Amesisitiza utii kwa aliyekuzidi nguvu"MAMLAKA"