Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
mdahalo unakatisha tamaa
hata mimi simwelewi, anatoa historia ya namna katiba ilivyoundwa. Inaonekana anataka njia zilizotumika zamani labda ndo zitumike. Sasa ameulizwa swali la tume ya mkwerekwahiyo hii ni hotuba, hadithi au lecture ?
Kaka tupo wengi, wanaofuatilia Tafadhali tujuzeni yanayojiri.tupen news jaman, wengine dowans imetukaba huku
Tanesco wamechukua chao mapema mtujuze yatakayojiri
Nice One...Wakimaliza nitairusha youtube!