Msanii PETER MSECHU anateka maji na kupika?

Mwanaume habebi ndoo kichwani bana, na huo mkao wa kumenya maharage hauvutii kabisa japo napenda watu wanaosaidia kazi.

Well said,.....kufanya kazi kama hizo(ingawa kusuka nywele mmmmmh)ni sawa,...lakn sio kwa mtindo huo
 
Kuna kazi nyingi tu angeweza kusaidia hapo.
Mfano ni kupaka huo ukuta rangi, ku attend hiyo garden, Kurekebisha hilo banda hapo backta au hata kupalilia mahindi.
Sasa yeye akifanya kazi za kina mama, anategemea kina mama ndio wafanyaje sasa.
 
huyu ni msanii na bila shaka alikuwa anarecord na siyo lazima matukio yote yanayo recordiwa uyaona popote maana wana edit na kupata yaliyo bora.sioni cha ajabu kabisaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hata mimi huwa nachota maji, lakini mara nyingi dada zetu ndiyo huwa wanabeba ndoo kichwani
Kupika hamna tatizo, lakini namna alivyoweka pozi inatia mashaka kidogo.
Hiyo picha ya mwisho inaongeza mashaka zaidi. Ususi upo kwa wa-Congo na wamasai tu. Jamaa inabidi tumshauri aache!
 

Duh usijekuta mtoto si riziki.

msechu-4.jpg
 
Back
Top Bottom