abunerimgaya
Member
- Nov 13, 2012
- 78
- 15
menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa
hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje
wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje
wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
Hata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!Pasha mi haniingii akilini kabisa.
Hata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!
Hata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!
Jombaa unaloHata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!
menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa
hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje
wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
sharo uharo milionea
angalia dem wako asihamie kwa ben polHata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!