Ukifuatilia kwa makini utawezabaini kua Kanumba alikua amepangiwa kufa siku hio hata kama Lulu asingepigiwa sim kama ilivyotokea. Hebu turudi nyuma masaa machache kabla ya kifo chake:- yaonyesha kua huyu bw alikua na amani tele siku hiyo iliopelekea kufanya yafuatayo:- yaonyesha dhahiri kua ni yeye aliemwalika Lulu aje kwake muda ule kwa ajili ya mtoko ndo maana Lulu alipofika alimkuta mdogo wa kanumba nae kaingia chumani kwake kwa maandalizi ya mtoko huo(alishajulishwa kabla na kakae).nae mr K ndo alikua bafuni akioga.
Kumbe hakuweza jua kua Jibirili mnyofoa roho kapoz kwenye kona akiwatumbulia macho huku akihesabu sekunde za kuanza seleka zake. Ikalia sim ya Lulu, nae Jibiril akajisemea"naam nalianzisha hapa hapa.
Sasa hebu ona mambo yalivyoenda kiajabu,
(1)Lulu alikimbia kuwahi atoke getini lakini wapii, jamaa akamuwahi akamrudisha ndani.
(2) katika hali ya kawaida walipoingia pale sebuleni pangetosha kufanyia vagi lakini wapi kifo kilimwongoza kwenda chumbani.
(3) bw Mdogo alisikia seleka zile akiwa kwake chumbani, lakini alishapumbazwa asiwe na wazo la kwenda japo kutoa msaada.( hata uamuzi wa kumpeleka hospita uligubikwa na ucheweshajisana kwani ugomvi ulitokea saa 6 usiku na kifo kimethibitishwa Hosp saa 9.ndo maana nasema "israel alikua nae siku hio"