Jamani..sasa itakuwaje na mlisema Kondegang for everebade
Sasa hivi anavuta sana bange napombe. Muda mwingi yuko weak sana na hana bidii ya kazi.KiukweLi country boy alivoenda konde gang alipunguza sana makaLi yaani ilikua n tofaut na zamani alkua akitoa ngoma mji mzma unaelewa
Hebu na wewe andika Kiingereza angalau mistari miwili tuone kama una tofauti na huyo unayemzungumza.Everbade au shidooo shidooo
Country mimi namwonaga kama anakuwaga high kila muda yani toka kitambo. Uwa namuona kama anaishi kwenye illusion kuwa yuko Marekani muda woteSasa hivi anavuta sana bange napombe. Muda mwingi yuko weak sana na hana bidii ya kazi.
In short, sioni kama anafanya jitihada zozote
Country au Harmo...Sasa hivi anavuta sana bange napombe. Muda mwingi yuko weak sana na hana bidii ya kazi.
In short, sioni kama anafanya jitihada zozote
Mfano, kwa huo wimbo aliotoa juzi wewe unamuona ni mtu mwenye juhudi zozote?Country mimi namwonaga kama anakuwaga high kila muda yani toka kitambo. Uwa namuona kama anaishi kwenye illusion kuwa yuko Marekani muda wote
Hakuna kitu pale yani graph yake imedropMfano, kwa huo wimbo aliotoa juzi wewe unamuona ni mtu mwenye juhudi zozote?
Koh koh kohHuyo kantri alicho ambulia kweye hilo genge ni kununuliwa tu bange za bure
Kwa hiyo ndio mkamfananisha na lil wizzy ?Country mimi namwonaga kama anakuwaga high kila muda yani toka kitambo. Uwa namuona kama anaishi kwenye illusion kuwa yuko Marekani muda wote
Ni kituko kuishi kifestyle la akina wizzy ukiwa bongo.
Vipi Konde gang ilimsogea kokote?Huyu anaenda kupotea kabisa bora angebaki Konde Gang tu