Msamaha wa kodi ya majengo kwa wazee

Magpie

Member
Aug 26, 2009
70
7
kama wengi wetu tujuavyo kwamba mamlaka za Miji, Manispaa na Majiji zimepewa mamlaka ya kutoza na kukusanya kodi ya majengo (Property Tax) kwa majengo ambayo hutozeka (Ratable properties), kwa majengo yote isipo kua yale tu ambayo yamepewa msamaha kupitia kifungu cha 7, hii ni kwa mujibu wa sheria ya Kodi ya majengo (the Urban Authorities (rating) Act, 1983 , nafikiri kuna Revise Edition am stand to be corected.

Katika pekuapekua yangu nimekutana na kitu ambacho sikua nakijua kabla, kwamba mnamo tarehe 05 oktoba, 2005 Mh. Rais (msataafu) B. W. Mkapa alitoa tamko la kuwasamehe kulipa kodi ya majengo wazee na wastaafu kwa nyumba zao wanazotumia kwa makazi yao binafsi na ambayo hayatumiki kwa biashara au kupangisha.
 
Wjuzi wa sheria tusaidieni. Tamko hilo la Raisi mstaafu lin nguvu kisheria?
 
Back
Top Bottom