Msajili wa Vyama vya siasa akimulike kikundi cha Green Guard ndani ya CCM, kimeunda jeshi.

Huu ni ushahidi tosha ikitokea Mauaji wapelekwe kabisa ICC hawa Janjaweed na sponsors wao!
 
Hapa ni uwanja wa Jamhuri Morogoro jana kwenye mkutano wa ndani wa CCM, sijui kama katiba inaruhusu kwa sababu vikundi kama hivi vilipigwa marufuku ndani ya vyama vya siasa.

CC - #CDF Mabeyo
CC - #IGP Sirro

Green Guards ya Tanzania haIna tofauti na iliyokuwa Malawi Young Pioneers iliyoweka hofu kwa Wamalawi, shukrani ziliendee jeshi la Malawi lilipoamua kuzisamalatisha kambi zao kwa makombora. Green Guards ndiyo waliomtesa mbunge vitimaalum Rose Kamili Chadema na hawakuchukuliwa hatuna zozote.
 
Marufuku hii ilihusu vyama vya siasa na si chama tawala, chanzo chake ilikuwa ni Chadema kuanzisha kikosi chao cha ulinzi.
 
Hapa ni uwanja wa Jamhuri Morogoro jana kwenye mkutano wa ndani wa CCM, sijui kama katiba inaruhusu kwa sababu vikundi kama hivi vilipigwa marufuku ndani ya vyama vya siasa.





CC - #CDF Mabeyo
CC - #IGP Sirro
Na kazi yao inaonekana,wanateka,wanatesa, wanapiga risasi wapinzani, wanachoma ofisi za vyama vya upinzani na wanaua wapinzani.
 
Wote hao lao moja ,nadhani aliyeanzisha hilo kundi alikuwa na dhumuni baya juu ya upinzani, ila alisahau kuwa hao hao majangili wake wanaweza wakageuka waasi ndani ya chama na serikali
 
Back
Top Bottom