Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba

Maalim atakamatwa kwa mtego wake mwenyewe.
Anazungkadunia nzima kulia lia kuwa katiba ya Zanzibar inasiginwa,
Sasa yeye anasigina katiba ya CUF, kweli nyani haoni kundule!!!
Hivi kituko alichokifanya Lipumba ulishawahi kukiona bafore mahali popote duniani!!?
 
Lipumba is disaster, watch out Lipumba is a rolling stone on steep incline.
 
Hivi......
Hua wana faidika na nini hata Lipumba kutumia nguvu kubwa kiasi hichi kisa ianachama tu
 
Katiba inasema barua ikisainiwa na mletaji na ikimfika katibu. Vyote vimefanyika.
Na kuhusu wajumbe hizo ni propaganga zao kwani hao jamaa walikua hawataki hata kura ifanyike kwani walijua ni wachache.
Znz wajumbe wake wanajulikana na wote hawamtaki labda mmoja tu.
Na wajumbe wa bara zaidi ya nusu hawamtaki....
Endelea mbele,usieende juu ya juu,l.
1. Barua ya kujiuzulu ikifika kwa Katibu Mkuu, Katibu Mkuu anapaswa afanye nini?HAKUFANYA LOLOTE NDIO MAANA LIPUMBA AKAITENGUA ILE BARUA, hapo Prof Lipumba hajakosea,alikuwa na haki ya kuitengua kwa sababu ilikuwa haijafanyiwa kazi.

2. Hoja ya Wajumbe wa Mkutano mkuu inaweza kuwa propaganda ya kundi la Lipumba au ya kundi la Seif, refa wa kuamua kama kweli wajumbe walikuwa halali au sio halali ni MSAJILI WA VYAMA.

Hii issue msiiendelee kimapenzi mapenzi, hii issue sio ndogo kihivyo.
 
Prof.Lipumba.
Prof.Tibaijuka.
Dr.yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa MOROGORO na kuachwa na Magufuri.
Dr.Bana wa UDSM

Kusema kweli maybe walisoma nje ya nchi maana huwa siwaelewi kabisa. Inawezekana kuna kitu walitaka kukigundua kwa sababu Jamii yetu ina tatizo la ELIMU ni ngumu sana kuwaelewa. Wakina Isaack Newton, Galileo, Alibert Enstein, Aristotle, Socrates nao Jamii ili waona kama vichaa lakini mwisho wa siku leo ndio wamejaa kwenye maandiko na tunawasoma kila siku. Ipo siku hawa watu tutawasoma usikute ni MaGineus lakini sisi uwezo wetu ni mdogo.

Ipo siku maybe watakuja kusomwa na vizazi vijavyo na sisi Jamii ya kizazi kijacho itatushangaa kwa kutowaelewa.

Mimi bado siwaelewi na bahati mbaya kama mlango wa ufahamu wangu uko chini sana kuwaelewa hawa MaProf na Dr. Yule aliyewahi kuwa Mkuu wa MOROGORO.


yule wa mrogoro anaitwa ajabu utengwe
 
U-professor na siasa ni vitu viwili tofauti. Ni wachache tu wanaoweza kuchanganya hayo mambo. Bahati mbaya wengi huingia siasa kwa sababu za "ajabu ajabu" kama kuvizia uwaziri etc. Kwa mafano ukimchukua Bana nasikia darasani yuko fiti kweli (ni mtalaamu wa administration) lakini anapo-ongea siasa hata wanafunzi wake wanajiuliza kama huyu ndiyo yule.
 
Sasa msajili anaingiliaje mambo ya CUF
Kumbe hata kazi za masajili hujui bora uhamie kwenye mada za mapenzi mahusiano na urafiki ambazo hupaswi kujua katiba wala kazi za taasisi mbali mbali.
 

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kufuatia mvutano wa kusimamishwa uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Profesa Lipumba kumuandikia barua Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi akilalamikia kusimamishwa uanachama bila kufuata utaratibu huku akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake ya uenyekiti.

Ofisi hiyo imeutaka uongozi wa CUF kueleza kwa kina hatua ilizopitia hadi kufikia uamuzi huo kwa mujibu wa katiba ya chama hicho, na kwamba iwasilishe barua hiyo kufikia kesho majira ya saa 9:30 alasiri.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano cha Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa, Monica Laurent amesema kuwa ofisi hiyo ilipokea barua ya Profesa Lipumba Agosti 29 mwaka huu ikiwa na malalamiko na kwamba wametaka uongozi wa CUF kutolea majibu.

“Tumeitaka CUF kutoa majibu kuhusu malalamiko ya Profesa Lipumba, ndipo sisi tutakapotoa majibu,” amesema Monica.

Lipumba ambaye alijiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti mwaka jana akipinga uamuzi wa chama chake kumuunga mkono Edward Lowassa kugombea urais, amerejea na kudai kutengua barua yake ya kujiuzulu.

Baraza Kuu la CUF lililoketi visiwani Zanzibar hivi karibuni lilimsimamisha uanachama Profesa Lipumba pamoja na viongozi wengine 10 akiwemo Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya aliyekuwa Naibu Katibu mkuu (Bara).

Hata hivyo, Profesa Lipumba amepinga uamuzi huo akieleza kuwa kikao cha baraza hilo kililiwa batili.

Chanzo: Mpekuzi
Wadai demokrasia wanavunja demokrasia.
 
Kuna sehem kakoment member S.N Jilala juu ya mqprofesa nq madaktari na matendo yao katika jamii kaandika hivi
"Prof.Lipumba.
Prof.Tibaijuka.
Dr.yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa MOROGORO na kuachwa na Magufuri.
Dr.Bana wa UDSM
Kusema kweli maybe walisoma nje ya nchi maana huwa siwaelewi kabisa. Inawezekana kuna kitu walitaka kukigundua kwa sababu Jamii yetu ina tatizo la ELIMU ni ngumu sana kuwaelewa. Wakina Isaack Newton, Galileo, Alibert Enstein, Aristotle, Socrates nao Jamii ili waona kama vichaa lakini mwisho wa siku leo ndio wamejaa kwenye maandiko na tunawasoma kila siku. Ipo siku hawa watu tutawasoma usikute ni MaGineus lakini sisi uwezo wetu ni mdogo.

Ipo siku maybe watakuja kusomwa na vizazi vijavyo na sisi Jamii ya kizazi kijacho itatushangaa kwa kutowaelewa.
Mimi bado siwaelewi na bahati mbaya kama mlango wa ufahamu wangu uko chini sana kuwaelewa hawa MaProf na Dr. Yule aliyewahi kuwa Mkuu wa MOROGORO."

Mi pia nawaza kuwa inawezekana mbeleni hawa watu wakaeleweka ,
 
Kwa hiyo katiba ya CUF inaruhusu iliyejiuzulu kwa hiyari yake atengue kujiuzulu kwakwe na kurudi kwenye nafasi yake?
Mmmmmmh mbona vioja hivi?
Mtu kufikia rank hiyo alafu unjifanya hujui ni hatari.
 
Prof.namfananisha na mwanaume anayetangazia ndg zake kumuacha mkewe kwa masimango kedekede,lakini mke kwa uchungu mkubwa anakubali kuachwa na kutafuta maisha mengine,lakini atakapo pata mume mwingine wa kumuoa mwanaume yuleyule aliyemuacha mwenye akili za prof anajitokeza na kudai hadharani bila aibu kwamba yeye ndo mume halali.....wito wangu kwa prof.CUF inawezekana bila yeye akae afanye utafiti km alivyoahidi.Alijiuzulu mwenyewe sasa kuleta mgogoro mtu mzima tena msomi aliyeheshimika hatutamuelewa
 
DuH,kweli hicho nacho chawezekana kuwa ni kijitawi ketu
 
Back
Top Bottom