Msaidieni huyu..wanaume tu

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,401
Nilikutana na rafiki yangu jana jioni..katika mazungumzo yangu aliniomba ushauri..nikaona ngoja niwashilishe kwa wadau..

Rafiki yangu huyu ana umri wa miaka 32.siku zilizopita alikuwa na marafiki wa kike(girlfriends)baada ya mda basi hakawa anatengeneza mahusianio yanavunjika baada ya mda..sasa yuko single ila shida anayoipata anasema amepoteza hamu kabisa ya kuwa na mahusiano na mwanamke..na wala ajisikii kuwa tena kwenye mapenzi..

Basi anasema huwa anasijikia furaha zaidi pale anapotoka na marafiki zake kuliko kuwa na girlfriend.

Sasa mtu wa namna hii unaweza kumsaidia namna gani li haweze kukurudia katika mahusiano isitoshe umri unakwenda inampasa hawe na family.
 
Yaonekana yale yaliyomkuta kwa kukutana na hao girlfriends yamem-turn off kwenye relationship.., Hapa inabidi ajue kwamba sio wote wako kama hao aliokutana nao,

Kama marafiki zake mnaweza mkawa mnatoka nae na kwa wakati huu anaweza akawa na marafiki wa kike with no strings attached.., huu sio muda wa kuforce commitment kwa sababu ya umri unakwenda, akipata anayefaa ndio afunge ndoa.

Na nyie marafiki zake msimlazimishe kwenye uhusiano mnachoweza kufanya ni ku-create surroundings za kumkutanisha na visura (even just for physical and not emotionally ili kuondoa upweke).

Siku akipata anayefaa yeye mwenyewe atawaambia...
 
Nilikutana na rafiki yangu jana jioni..katika mazungumzo yangu aliniomba ushauri..nikaona ngoja niwashilishe kwa wadau..

Rafiki yangu huyu ana umri wa miaka 32.siku zilizopita alikuwa na marafiki wa kike(girlfriends)baada ya mda basi hakawa anatengeneza mahusianio yanavunjika baada ya mda..sasa yuko single ila shida anayoipata anasema amepoteza hamu kabisa ya kuwa na mahusiano na mwanamke..na wala ajisikii kuwa tena kwenye mapenzi..

Basi anasema huwa anasijikia furaha zaidi pale anapotoka na marafiki zake kuliko kuwa na girlfriend.

Sasa mtu wa namna hii unaweza kumsaidia namna gani li haweze kukurudia katika mahusiano isitoshe umri unakwenda inampasa hawe na family.

Y awezekana mkono wake ni mfupi, so anaona bora atoke na wanaume maana wana mzungushia na yeye hapendi gharama
 
Kaanza kuwa bwabwa nini? Inabidi mumchunguze vizuri

Yaani nimeangua kicheko hadi naonekana chizi, dah hizi comment zingine bana very funny.

Mkuu muache kwanza maana hayo mambo hayalazimishwi yanahitaji utashi wa muhusika mwenyewe, nadhani ni kipindi cha mpito tu.
 
swala la kuwa ubwabwa sifikirii kabisa...na kwamaba anaogopa gharama hakuna kwa sababu anaishi maisha mazuri tu ya kisasa kama mtu anweza kufanya bisahara ya kupata si chini 7M faida kila mwezi huwezi kusema anakimbia gharama..Voiceofreason naona umefanya vizuri tu jamaa yangu inaonyesha wanamtenda kwa hiyo ameamua kupunzika..
 
Mabahili sio masikini ni maselfish
 
time heals
mshaur atulie kwa sasa, wt tme he'l fnd hmself falling in love again. ASILAZIMISHE kwa kigezo cha umri kwenda
 
mshauri amrudie mungu,kama muslim aswali swala 5,kama mkirsto mshauri ashiriki kanisani,siyo kwenda on sundays only,bali ajichanganye ktk social duties za kidini ,ajitolee japo 2hrs per week ,then ataona changes.kwanza atapata marafiki wa ukweli,then ataweza kudevelop social interactions.
kinachomkuta kwa sasa ni kuwa wasichana wanavutiwa na kipato chake,then wakishakizoea,be it gari,nyumba nzuri ,outings etc.wanaseapa na kurudia mabwana zao .na kwa kuwa yeye ni mfanyabiashara hajui kuhonga kama wala rushwa wa Tz,mfanyabiashara makini huwa anatoa pesa zake kwa plani,ila mla rushwa wa serikali ya Ja akaya yeye anatoa tu,kwani zinaingia bila plan na huwa zinatoka bila plan
 
Well kama VoR alivyosema kulazimisha mahusiano haitamsaidia!
Nyie marafiki zake kama mna mahusiano yenu ambayo ni mazuri itakua vizuri mkiwa mnayaongelea mara kwa mara...ili aone kwamba wapo wanawake ambao ni tofauti na huyo aliyemkatisha tamaa na kwamba nyie mnafurahia.
Kingine anaweza akawa na marafiki wa kike bila kua wapenzi....hii itamsaidia kuona tabia zao zinavyotofautiana.
 
mshauri amrudie mungu,kama muslim aswali swala 5,kama mkirsto mshauri ashiriki kanisani,siyo kwenda on sundays only,bali ajichanganye ktk social duties za kidini ,ajitolee japo 2hrs per week ,then ataona changes.kwanza atapata marafiki wa ukweli,then ataweza kudevelop social interactions.
Just for argument sake....
Kwani pale mwanzo alikuwa hayupo na Mungu?
Je marafiki wa kweli wanapatikana kanisani peke yake, au hata kwenye mabar, soko, na mitaani?

Nauliza tu sababu kuna tabia ya watu kumkimbilia Mungu pale wanapokumbwa na matatizo wengine huwa wanapitiliza kwenye ulokole mpaka kuchanganyikiwa, yaani wanatatua tatizo moja na linazaliwa jingine...
 
hapa guarantee panahitajika ushauri wangu. lakini niko bizee kinomi leo. hashy, VoR na ankal ze fainest mnaombwa kuziba pengo. hakikisheni jamaa anapata suluhisho. na Lizzy unaombwa kunigongea senks.brb
 
haina haja ya kumsaidia, hana tatizo lolote....sasa sana kama anaweza kulea amzalishe girlfriend mmojapo maisha yaendelee...na hata hivyo kuzaa sio lazima sikuhizi...tunao watanzania mambumbumbu wakutosha.
 
:confused2::confused2::confused2:
 
Sa zingine hata mimi huwa sioni kama kuna ulazima wa kuwa kwenye mahusiano.
Nafikiri jamaa alikuwa anawahi kuanzisha uhusiano mpya pindi wa zamani ukivunjika.
Mwambie ajipe muda kwa sasa hata miaka 2 huku akiinteract na wasichana wengi wengi ili awajue hawa viumbe.
 
Well kama VoR alivyosema kulazimisha mahusiano haitamsaidia!
Nyie marafiki zake kama mna mahusiano yenu ambayo ni mazuri itakua vizuri mkiwa mnayaongelea mara kwa mara...ili aone kwamba wapo wanawake ambao ni tofauti na huyo aliyemkatisha tamaa na kwamba nyie mnafurahia.
Kingine anaweza akawa na marafiki wa kike bila kua wapenzi....hii itamsaidia kuona tabia zao zinavyotofautiana.

Sa zingine hata mimi huwa sioni kama kuna ulazima wa kuwa kwenye mahusiano.
Nafikiri jamaa alikuwa anawahi kuanzisha uhusiano mpya pindi wa zamani ukivunjika.
Mwambie ajipe muda kwa sasa hata miaka 2 huku akiinteract na wasichana wengi wengi ili awajue hawa viumbe.

hivi nyinyi mmebadilisha jinsia? , heading ya sredi inasemaje?
 
Time is a healer....oopppppsssssssss ni kwa wanaume tu.......:horn::sorry::car::car:
 
Back
Top Bottom