Independent Voter
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 279
- 71
labda ni shwaga tu si unajua sometimes mtu anatumia alama hajui ina maana gani au amejisahau kutokana na mazoea.Mbona umeweka alama ya mshangao katika neno j.k,unaonesha kama una mashaka na huyu binti.
humu ndani mchagga hata akishirikiana na jk huwa hapondwi,nimegundua hilo now
i real do not believe a young lady/guy of her age anaweza kuwa amebobea kiasi cha kutosha kumshauri rais kwenye jambo kubwa kama la uchumi au linalofana na hilo na country ika prosper . lazima tutegemee kufeli tu.
guys believe me we are not serious. watu wa age hii wanapaswa kuwa busy kwenye reseaches zaidi.
sina la binafsi katika hilo.
Kweli ameshauri vizuri uchumi maana ziara zimeongezeka na uchumi ndiyo umedidimia kusubiri matunda ya ziara. Kazi tunayo.
Na juzi Tanga nimemsikia JK akihutubia hili taifa lililokosa mwelekeo kuwa mfumuko wa bei unasababishwa na matatizo ya nchi zinazotoa mafuta (Za Kiarabu) kuwa na matatizo.huyu mdada anauzoefu gani, ili kuonekana amebobea kwenye mambo ya uchumi? tupe taarifa zaidi.
Waache wachaguane kwa kutegemea mikutano ya nje na safari za hapa na pale,Ndio maana woote wanafikiria kwenda ulaya kuomba misaada badala ya kuwekeza kwenye mambo muhimu,wote ni watu wa sherehe hakuna muongozaji wa nchi wala mchumi!Bi. ELSIE KANZA, mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu AFRIKA pekee kutokea TANZANIA pia ni Mshauri wa UCHUMI wa RAIS KIKWETE na pia amechaguliwa na World Economic Forum kama Young Global Leader, BiGUPP Bi DADA.
Well said, allydu!!!
Can we have her CV pls????