Msahauri wa uchumi wa JK!

Independent Voter

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
279
71

Bi. ELSIE KANZA, mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu AFRIKA pekee kutokea TANZANIA pia ni Mshauri wa UCHUMI wa RAIS KIKWETE na pia amechaguliwa na World Economic Forum kama Young Global Leader, BiGUPP Bi DADA.
 
Mbona umeweka alama ya mshangao katika neno j.k,unaonesha kama una mashaka na huyu binti.
 
Mbona umeweka alama ya mshangao katika neno j.k,unaonesha kama una mashaka na huyu binti.
labda ni shwaga tu si unajua sometimes mtu anatumia alama hajui ina maana gani au amejisahau kutokana na mazoea.
 
i real do not believe a young lady/guy of her age anaweza kuwa amebobea kiasi cha kutosha kumshauri rais kwenye jambo kubwa kama la uchumi au linalofana na hilo na country ika prosper . lazima tutegemee kufeli tu.
guys believe me we are not serious. watu wa age hii wanapaswa kuwa busy kwenye reseaches zaidi.

sina la binafsi katika hilo.
 
huyu mdada anauzoefu gani, ili kuonekana amebobea kwenye mambo ya uchumi? tupe taarifa zaidi.
 
Kweli ameshauri vizuri uchumi maana ziara zimeongezeka na uchumi ndiyo umedidimia kusubiri matunda ya ziara. Kazi tunayo.
 
Well said, allydu!!!

Can we have her CV pls????
 
Na juzi Tanga nimemsikia JK akihutubia hili taifa lililokosa mwelekeo kuwa mfumuko wa bei unasababishwa na matatizo ya nchi zinazotoa mafuta (Za Kiarabu) kuwa na matatizo.
Ninajiuliza ni Tanzania tu inayotegemea mafuta kutoka huko? Na je, mbona sisi tuna gesi hapa lakini hatupewi mikakati yoyote jinsi gani ya kuisimamia ili kupunguza unafuu wa maisha!?

Kikubwa zaidi ni kwa nini hawa wenzetu ambao ni majirani kama Kenya wanajitahidi ku-control uchumi wao wakati hapa Mh. Mkullo akijadili bajeti kutokea Washington DC! Wakati sasa inflation inaelekea 30% angalia wezetu hapa kisha ndio uelewe kuwa tunapiga tu porojo!

Inflation hits lowest mark since May 2011
Kenya's year-on-year inflation rate slowed in April to its lowest level since May last year, data showed on Monday, boosting chances the central bank (CBK) will trim its key lending rate soon.
The inflation rate fell by far more than expected to 13.06 per cent from 15.61 per cent in March, despite a 1.21 per cent increase in food prices from a month earlier.

Sorce: http://www.standardmedia.co.ke/business/
 
Bi. ELSIE KANZA, mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu AFRIKA pekee kutokea TANZANIA pia ni Mshauri wa UCHUMI wa RAIS KIKWETE na pia amechaguliwa na World Economic Forum kama Young Global Leader, BiGUPP Bi DADA.
Waache wachaguane kwa kutegemea mikutano ya nje na safari za hapa na pale,Ndio maana woote wanafikiria kwenda ulaya kuomba misaada badala ya kuwekeza kwenye mambo muhimu,wote ni watu wa sherehe hakuna muongozaji wa nchi wala mchumi!
 
Ndio maana tunahangaika kujikwamua.....kumbe mshauri mwenyewe.....uzoefu...hola...labda tuseme ni moja ya washauri kati ya wengi alio nao...lakini kuseme huyu tu...Kuna walakini....
 
Well said, allydu!!!

Can we have her CV pls????

Si nafuu tuseme baada ya kusoma hapa profile yake wakuu.

Elsie S. Kanza
BSc in International Business Administration,
US International University, Africa;

MA in Development Economics,
Center for Development Economics, Williams College, US;

MSc in Finance, University of Strathclyde.

Formerly;
with Ministry of Finance and Central Bank of Tanzania;
Adviser to the President of Tanzania.

Currently;
Director, Head of Africa, World Economic Forum.
Trustee, Tanzania Tennis Association.
Archbishop Desmond Tutu Leadership Fellow.
Member: Honorary Committee, 1x1microcredit.org;
Rotary Club, Bahari, Dar es Salaam; Tanzania Chapter, Society for International Development.

Shida ya uchumi msimsingizie yeye, kwani ni Professors wangapi wanafanya research na bado taifa halizitilii maanani?
Iwe yeye ambaye ni mmoja, acheni kupika jungu. We all know Tanzania.

Mmojawapo aniambie ile research aliyofanya chuo kabla ya ku-graduate, imefanyiwa kazi sehemu gani popote?
Naamini kama zipo, basi ni chache sana. They all end up in the shelves, na zingine hata maktaba za taifa hazifiki.

Kwako Elsie,
Keep it up.

Kwa nyote.
Even if your country does not value your contribution, It does not mean the world does so too.
 
Sijui niseme?!Katika hali hii ambapo Mchele kg@2600/= na mfumuko wa bei ni zaidi ya 22%!Nini maana ya mshauri wa uchumi?!

Anyway, ngoja npte mie...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom