Msafara wa Makamu wa rais Mwanza

dah,ndo maana hatuendelei. saa nzima magar yamecmama ksa msafara ukizingatia barabara za katkat ya jiji la mza ni moja. inaboa jaman

Wapi mkuu! Nimetoka pale elimu ya watu wazima karibu na chuo cha biashara kuelekea Victoria Palace Hotel - kapri Point mbona sijaona hii kitu? Naona tu msululu wa Ma Trafiki kila kona.
 
Wapi mkuu! Nimetoka pale elimu ya watu wazima karibu na chuo cha biashara kuelekea Victoria Palace Hotel - kapri Point mbona sijaona hii kitu? Naona tu msululu wa Ma Trafiki kila kona.

î thnk by the time unatoka hapo ndo walikuwa wamepita muda co mrefu. dats y ukawakuta matrafiki kila kona. ndo hao walikuwa wanasimamia huo msafara. dah nimeona pia wanafanya video shooting nahisi kuna mahali aenda kuzindua kitu flani.. ngoja tutazipata tu!
 
aliingia Mwanza tangu jana jioni, ule msafara nilidhani ni Vasco da Gama, kumbe na mzee wa mkasi anasindikizwa na ambulance kubwa!
 
Huyu mtu anakaaga ofisini saa ngapi? Full uvasco da gama wa ndani
 
Wapi mkuu! Nimetoka pale elimu ya watu wazima karibu na chuo cha biashara kuelekea Victoria Palace Hotel - kapri Point mbona sijaona hii kitu? Naona tu msululu wa Ma Trafiki kila kona.
OLD MAN:(sees a young
mansmoking)kijana wachana
naiyo sigara,itakudhu ru afya
yako
MPITA NJIA:(ignores him)
OLD MAN:(Next day)Kijana husikii
uwachane na iyo sigara,itakudhu
ru afya yako
MPITA NJIA:(ignores him again)
OLD MAN:(Next day)Kijana husikii
uwachane na iyo sigara nilikuona
nayo jana
MPITA NJIA:Mzee ni nini
mbaya,huoni niko na sigara
ingine!ya jana nilitupa
 
Back
Top Bottom