Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Nani kakudanganya kuwa Magufuli hapendwi kanda ya ziwa? Mnahaha mcheza kwao hutuzwa ndo maana Lowasa kaskazini naye atapata kura nyingi. Magufuli atapata 80% kanda ya ziwa na hilo halina ubishi. #Hapakazi tu majungu na Ufisadi peleka Ukawa.

teh teh naishi Mwanza kati ya watu 10 basi 8 ni UKAWA hao wengine tunawaachia mgawane na vyama vingine huku watu wameelimika sana wanaoendekeza ukabila ni wachache mno.
VIVA UKAWA!!!
 
Ndugu Ocampo, Hizi campaign za mwaka huu zimetufundisha mengi, mojawapo ni kuwa mafuriko ya wanaohudhuria mikutano huwa wana fanya hivyo kwa kila mkutano, no sain person can believe that a place like CHATO will have 500,000 followers each for CDM & CCM, neither Tanga , Moro, Mbaya, d odoma
 
Kuusimamishwa barabarani ni mbinu za kisiasa, na zinafanywa na vyama vyote, hapo ni mgao wa pesa sio mapenzi. Safari hii campaign imekuwa bias harakati kubwa sana.
 
Maswali ya kawaida kabisa:

Walijuaje Lowassa atatumia usafiri wa gari na sio Helkopta? Na walijiuaje njia atakayotumua na muda atakaopita?
hilo ni kusanyiko dogo kwa ubungo,pita ubungo na bendera za ccm uone utakavyozomewa yaan isijulikane atapita wapi lowassa wkt kuna maskauti wa chama
 
hilo ni kusanyiko dogo kwa ubungo,pita ubungo na bendera za ccm uone utakavyozomewa yaan isijulikane atapita wapi lowassa wkt kuna maskauti wa chama

Nimekatiza jana saa tano asubuhi na bendera ya CCM & stika ya Magufuli bila tabu!

Hadithi za sungura na fisi wasimulie wengine.
 
Una akili sana,mimi tayari zamani mkuu.
Labda nifanye kurudia tu kuwakumbusha.
Hii imekaa vizuri sana, kwa upande wangu hiyo ni confirmed; Mimi na mke wangu, Baba na Mama yangu, Familia yetu wooote yaani kaka/dada zangu na mashemeji zangu + kitongoji chagu ninapoishi, Bibi zangu waliopo mkoa na ndugu zangu weeengi; Tutaipigia kura UKAWA. Hii ni confirmed tena bila kupepesa macho, yaani 100% confidence level.
 
Ianzishwe kampeni maalumu ya watu wa dar kuwaomba wa vijijini kumpigia lowassa kura iitwe "ongea na home lowassa awe raisi"

aah! we bado hujaanza, mimi huku karibu namaliza wajomba woote na familia zao, wazee wale mara nyingi huwa wanasema "wamesema tukichagua upinzani wapinzani wataleta vita"... basi nawapa somo la kutosha kabisa kwamba kama upinzani umeshindwa uchaguzi tena pasipo haki siku zote na hawajaleta na vita iweje walete vita wakishinda? isitoshe upinzani hawana majeshi wala maghala ya silaha, kama ni vita watakaoanzisha ni hao hao wanaotawala nchi
 
Mkuu huwa zinajibiwa hoja sio matusi,Tume ina kazi ya ziada inaelekea unahitaji elimu ya mpiga kura!

Pole sn kwa kutojielewa. Bahati mbaya ccm wote mmepanic kuanzia rais mpaka mwenyekiti wa kitongoji.
Sisi malofa wapumbavu na mbumbumbu tunataka mabadiriko tu
 
Ndugu Ocampo, Hizi campaign za mwaka huu zimetufundisha mengi, mojawapo ni kuwa mafuriko ya wanaohudhuria mikutano huwa wana fanya hivyo kwa kila mkutano, no sain person can believe that a place like CHATO will have 500,000 followers each for CDM & CCM, neither Tanga , Moro, Mbaya, d odoma

Tofauti kubwa ni kuwa chama kimoja kinatumia nguvu nyingi kupata huo mkusanyiko kama vile kuweka wasanii maarufu, kusombelea watu kwa malori na mabasi na taswila katika mikutano hiyo watu huwa hawaonyeshi kuunga mkono hoja za mgombea isipokuwa wale wanaokuwa wameandaliwa na kukaa mbele lakini chama kingine kinapata mkusanyiko mkubwa pasipo kutumia nguvu kubwa na watu huwa na nyuso za hamasa na kuonyesha wazi wapo hapo kwa moyo mweupe na kwa ridhaa yao
 
Mwaka huu Iwe mjini au vijijini ni Ukawa Mabadiliko na Lowassa tu. Magufuri na Mapushap zake huko huko kwenye mashindano ya vipaji. Japo achunge sana asipige pushap mbele ya Juma Nyoso.
 
Back
Top Bottom