Msafara wa Kikwete jioni hii wazuia ambulance maeneo ya Mbezi Luis

nitaendelea kulaani kila maovu ya serikali na raisi mpaka siku matatizo ya Watanzia wenzangu yatakapo pata nafuu!

Ni mimi Moblaze wa mawinguni
 
wakati nikiwa driving school mwalimu wangu aliniambia ni ambulance pekee inayoweza kukatiza msafara wa rais, sasa hawa traffic sijui hawalitambui hili?
Hivi kumbe ni ambulance tu yenye uwezo wakuingilia msafara? Nilikuwa sijui. Kuna siku mwaka huu nilikuwa namsindikiza mjamzito ndani ya taxi uchungu ulimuanza ghafla. Texi ilikuwa inapiga honi na kuwasha taa lakini tulizuiwa kwa sababu ya msafara wa kiongozi. Yaani mgonjwa wangu chupa ilivunjika hapo hapo kwenye foleni na hatukuwa nalakufanyaa. Ila tuliweza kufika na akajifungua mlangoni pale hospitali. Pressure yangu lazima ilikuwa iko juu.nilisikitika sana na abiria wengine wa magari ya pembeni yetu waliotuona walijaribu kusaidia lakini ile hali iliwatisha. So only ambulances wanaruhusiwa? How many have access to ambulances DSM hii??!!
 
Back
Top Bottom