Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Wakuu,nipo Eneo la Shoprite hapa Arusha,naona msafara wa viongozi mbalimbali wa ccm,akiwepo RC wa Arusha,wanapita sokoni kilombero,ndipo soko lote likalipuka na kuanza kuwashambulia,kwa mawe,nyanya,bamia,ndizi,viazi,na kila aina ya silaha inayopatikana sokoni
Nimemwuliza kijana mmoja hapa kwa nini wanawapiga,akajibu kuwa serikali imelegalega sana,badala ya RC kushughulikia matatizo yao yupo bize na maandamano ya CCM
Polisi wametuliza kidogo na msafara unaelekea mbauda kwa mkutano