Msafara wa CCM wapigwa Soko la Kilombero Arusha

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Wakuu,nipo Eneo la Shoprite hapa Arusha,naona msafara wa viongozi mbalimbali wa ccm,akiwepo RC wa Arusha,wanapita sokoni kilombero,ndipo soko lote likalipuka na kuanza kuwashambulia,kwa mawe,nyanya,bamia,ndizi,viazi,na kila aina ya silaha inayopatikana sokoni
Nimemwuliza kijana mmoja hapa kwa nini wanawapiga,akajibu kuwa serikali imelegalega sana,badala ya RC kushughulikia matatizo yao yupo bize na maandamano ya CCM
Polisi wametuliza kidogo na msafara unaelekea mbauda kwa mkutano
 
Wakuu, nipo Eneo la Shoprite hapa Arusha,naona msafara wa viongozi mbalimbali wa ccm,akiwepo RC wa Arusha,wanapita sokoni kilombero, ndipo soko lote likalipuka na kuanza kuwashambulia,kwa mawe, nyanya,bamia, ndizi, viazi na kila aina ya silaha inayopatikana sokoni. Nimemwuliza kijana mmoja hapa kwa nini wanawapiga akajibu kuwa serikali imelegalega sana,badala ya RC kushughulikia matatizo yao yupo bize na maandamano ya CCM. Polisi wametuliza kidogo na msafara unaelekea mbauda kwa mkutano

Ha ha ha ha ha ha ha! Mimi mwenyewe mwanangu wa miaka minne juzi kamrushia jiwe Balozi wa nyumba kumi wa CCM tena akimwita fisadi akaja kulalamika kwangu. Nikamwambia ampeleke polisi. Mpaka leo sijamuona akija na polisi!
 
Wakuu,nipo Eneo la Shoprite hapa Arusha,naona msafara wa viongozi mbalimbali wa ccm,akiwepo RC wa Arusha,wanapita sokoni kilombero,ndipo soko lote likalipuka na kuanza kuwashambulia,kwa mawe,nyanya,bamia,ndizi,viazi,na kila aina ya silaha inayopatikana sokoni
Nimemwuliza kijana mmoja hapa kwa nini wanawapiga,akajibu kuwa serikali imelegalega sana,badala ya RC kushughulikia matatizo yao yupo bize na maandamano ya CCM
Polisi wametuliza kidogo na msafara unaelekea mbauda kwa mkutano
Asije ikawa wewe ni mmoja wao waliorusha hayo mawe maana huaminiki kulingana lipoti yako hapa
 
wanatumia magari ya serikali stk zetu kwa sherehe zao za uwizi ni hela za walipa kodi wanatumia na huku madaktari hawataki kuwapa maslai yao.
 
Arusha na Mbeya wananchi wake walishaaumua zamani hawataki ujinga wa kuungana na wezi na majambazi wakisiasa CCM,hakika hao wanamabadiliko
 
Nafikiri hakuna haja ya kuwarushia mawe au kuwatukana ila KUWAZOMEA tu inatosha na ujumbe utafika. Mungu waongezee watz ufahamu ili 2015 wafanye mabadiliko ya amani
 
Hivi nani alitegemea ile CCM ya mwalimu Nyerere siku moja ingegeuka kuwa BUNDI katika jamii ya Tanzania hii shauri tu ya kuwakumbatia MAFISADI bila kuwaachia???????????? CCM mnaona mambo hayo?
 
Kwa Mwanza imekuwa ngumu kurusha hata jiwe watu wenyewe wametolewa mbali vijijini wamechoka na wanatia huruma sana
 
Tunakoelekea ni kubaya sana. Leo nilikuwa naangalia kipindi cha Tuongee Asubuhi cha STAR TV, kuhusu Miaka 35 ya CCM, Mwanangu akaniambia baba zima TV zima TV. Nikamwuliza kwa nini? akaniambia huoni ni akina NAPE?
nikamwuliza kwani Nape anashida gani? akaniambia siwapendi kabisa hao Magamba!
 
Kwanini wasinge wachoma moto hayo majambazi? Shenzi zao . Ole wenu sisiem naitafuta dawa yenu.
 
pale sokoni kamwe hapawezi kuwa na mtu mwenye akiri

Unaweza ukawa sahihi. Ngoja tuwasubiri wataalam wa Kiswahili watatuambia!!!. Kama ulimaanisha akili umeishiwa hoja mkuu wala huwezi kuwa sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom