Msada juu ya elimu yangu jamani

Am only

Senior Member
Jan 12, 2014
104
76
Hlw wana jf wa jukwaa hili, mimi ni muhitimu wa kdto cha 6 mwaka huu, nmefaulu na kuchaguliwa kujiunga na chuo cha IFM dar cause ya banking and finance. Nlikua nategemea bodi ya mikopo ila nmekosa mpaka lot ya 4 na familia kiukwel haiwez kunisomesha kwan mpaka sasa najitegemea mwenyewe kwa kila kitu kulingana na uwezo duni wa wazazi wangu. Kwa sasa nimeona nitafute ufadhili wowote kutoka kwa taasisi, shirika, kampuni au mtu binafsi. Kwa yeyote mwenye kujua izo taasisi, mashirika, makampuni au mtu binafsi anisaidie tafadhali ili niweze kuendelea na masomo na kuikomboa familia yangu. Karibuni kwa msaada wa hali na mali tafadhali.
 
Kwa mwenye msaada jamani, mpka sasa naendelea kupitwa na masomo.
 
Mm ushauri wangu kama unaona hali ni ngumu kabisa na umefikia mwisho nazani hiyo hela uliyo nayo ukaifanyia biashara ili mungu akibaliki badae mambo yakiwa sawa unarudi chuoni.... kitu cha kufanya nazani ungeandika barua ya kuhairisha mwaka wa masomo... kama vipi nazani jaribu kuingia kwenye mashirika kama kampuni za bia au simu mana wana kitu kinaitwa social corporate responsibility japo changamoto yake hawa nao huwa wana bajeti zao so nao unaweza kukuta wakakwambia watakuweka mwakani... kitu kingine ni kwenda kwa watu wenye hela zao kama kina Mengi uonanne nao face to face
 
Kwa mwenye msaada jamani, mpka sasa naendelea kupitwa na masomo.

Kipaumbele cha kwanza........ cha pili ........ cha tatu............. itakuwaa bure kuanzia...?.......... mpaka ...........

Hapa kazi tu baba, huna ada, huna mkopo, kalime au beba zege dunduliza mwakani kajaribu tena, kwenye likizo rudi kwenye zege. Nakutakia kazi njema.
 
Acha sasa
Anza Mwakani, Apply Education Mathematics hiyo haina maswali kimkopo na kiajira.
 
uckate tamaa ndugu yangu ata mimi masaa yalio pita nilikua kama wewe ila mungu amejaalia nimetoka kwenye lot ya tano...ila kama unataka wazamini eb jarb kuulizia shirika hili linaitwa *mkapa foundation* unaweza ukapata msaada apo
 
Back
Top Bottom