Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wa kusoma, Dec 7, 2011.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,671
  Likes Received: 1,310
  Trophy Points: 280
  Nina video clips nzuri sana ila ninashinwa kuzipost hapa jf nifanyeje? nielekezeni namna ya kupost video
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,152
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 145
  kabla ya kupaste, lamba kidole kinachobonyeza mouse.
  yale mate yananatisha video kwenye jf

  angalizo: usiweke mate meengi sana italegea.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,226
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  dogo hebu shuka chini jukwaa la sayansi kuna magwiji watakujuza hata usiyoyauliza
   
Loading...