Dah dadangu sina hakika kama utaweza kuipata bure kwenye net manake wanataka ununue kwa visa au master card, hebu jaribu kuwaona jamaa mtaani wakupe cd uintall mbona ziko mtaani nyingi tu, latest kwangu mimi ni 2011 ninayo cd ya 2007 MO shida ni kubwa siwezi kukuattachia nkakuinbox, unatumia ipi kwani kwasasa?
Unaweza kudowaloda trial. version ya office 2010 hapa Try Office 2010 - Office.com utayotumia kwa siku 60 kabla ya kujua jinsi ya kulipia au kuichakachua teh teh teh teh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.