Msaada: Windows is not genuine message

chwechinyong

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
223
105
Habari wana jf hususan jukwaa hili la Science and Tech:

Ni kwamba window screen yangu ime-turn into black na inatoa hii message:

Windows 7
Build 7600
This copy of Windows is not genuine


Je hili tatizo nalitatua vipi? Msaada wenu wadau na ahsanteni sana
 
au download utorrent halafu search for window 7 loader,ukishaidownload fuata instructions,ukishindwa tena uje uulize ntakuelekeza.
 
Habari wana jf hususan jukwaa hili la Science and Tech:

Ni kwamba window screen yangu ime-turn into black na inatoa hii message:

Windows 7
Build 7600
This copy of Windows is not genuine


Je hili tatizo nalitatua vipi? Msaada wenu wadau na ahsanteni sana

Soma thread za zamani hapa jf, swali lako lilishajibiwa na wadau huko nyuma. Usiwe mvivu wa kusoma dogo.

Rejea thread hizi:
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/283852-window-7-is-not-genuine-naomba-msaada-wa-kuondoa-hii-message-kwenye-pc-yangu.html


https://www.jamiiforums.com/tech-ga...um/288272-window-ultimate-is-not-genuine.html
 
Mwana vijana wamekuwa wazito kusaka solutions za matatizo yao badala yake kila mtu anaanzisha uzi wake matokeo ndiyo hayo mambo ya kujirudia rudia.
mtu anaweza kuona kachuniwa kumbe watu wameshachangia sana huo uzi huko nyuma.
any way dogo kamata linki hii Win.Lder.rar then ulete matokeo
***muhimu uwe na winrar ili kuextract hilo file, maelekezo mengine utapata mumo humo.........
KRapka Davinoooooooooooo!!!!
 
NJIA MPYA RAHISI KABISA YA KUPATA GENUINE KATIKA WINDOWS XP,7,VISTA.

nenda start search hapo kwenye search type wga enter zitakuja una rename zote wga unafuta maandish yote una type WGA.OLD kwa hizo zote then una restart kwisha habari yake.jaribu.
[
 
|fjgcp-4dfjd-gjy49-vjbq7-hyrr2
|342dg-6yjr8-x92gv-v7dcv-p4k27
|22tkd-f8xx6-yg69f-9m66d-pmjbm
|49pb6-6bj6y-khgcq-7ddy6-tf7cd
|fhy4q-vb63h-xk8vd-9y68p-rfq43
|j6c9r-c9hhg-3cwty-y4mpw-cd72j
 
Back
Top Bottom