subiri mwenye nayo atrakuja mkuu
unakaa wapi wewe charminglady?
si anakaa kwenye kiti ama...
unakaa wapi wewe charminglady?
my husband watu8, umenichekesha sana, naona hutaki maswali magumu kwa binti yako charminglady, tena na kijukuu kinakuwa ndani yake, hebu wamwache mwanetu asije pata stress zikapelekea miscarriage
Ningependa kujua ile Avatar inayomuonyesha jamaa kang'ang'ania mguu wa Police ni ya nani? Nimemsahau kidogo. . . . .