RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 167
Modem yangu ya vodacom nikiweka katika laptop yangu hadi juzi ilikuwa inapiga kazi safi kabisa lakini sasaivi inaload vizuri mpaka kufikia hatua ya mesej ya ku connect lakini nikijaribu ku connect ina search sana na mwishowe inaleta meseji hii; Mobile connection not possible. Ensure no other applications are using your selected device, and try again in a hort while. lakini hata nikijaribu baada ya mda inaleta msg hiyo hiyo. Nikiweka katika computer/laptop ingine inapiga kazi bomba kabisa, Naombeni msaada wenu wataalam nifanyaje kumaliza tatizo hili.